National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
Ulienda wapi shangazi 😄😄Mie hii likizo si nilisafiri nikafifanya kuangalia King'amuzi DSTV online kupitia simu weeee Siku mbili bando la wiki kwishaaa!! Nikikaa vibaya hata siku moja bando la wiki kwisha! Bora kilivokata hii juzi kuweka hadi Jumapili!