Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,683
- 99,566
Makubwa!Huwa naiona humu Jf na huwa kuna mda ina laiki na kulaikiana
Haya karibu tupike dagaa!
Makubwa!Huwa naiona humu Jf na huwa kuna mda ina laiki na kulaikiana
Dagaa ukiwala nasikia wanafufuka tumboni wanaanza vita ni kweli au hekaya tu waswahili ?Makubwa!
Haya karibu tupike dagaa!
Kwa nyie watoto wa kishua ni kweli kabisaDagaa ukiwala nasikia wanafufuka tumboni wanaanza vita ni kweli au hekaya tu waswahili ?
Haya mkuu asante wakiwa wengi tukaribishaneKwa nyue watoto wa kishua ni kweli kabisa
Ila sie tulozaliwa ukanda wake zimetulea.. wala hazina miujiza!
Mawino mengi sana madam😎
Uzee mwanangu!!Mawino mengi sana madam😎
Kila mtu utamfikia tu! Be free mrembo😊Uzee mwanangu!!
Shida Sura imegoma kabisa kueditika hata niedit vipi ndomana nimekoleza sana winoKila mtu utamfikia tu! Be free mrembo😊
Unajibandika mafilter kama yote😆Shida Sura imegoma kabisa kueditika hata niedit vipi!
Filter yenyewe imegoma kabisa!! Noma sanaUnajibandika mafilter kama yote😆
😹😹😹😹 Si nikapitiwa na usingizi..!!😂😂😂 singo mamz kazi kwao kukiweka kwa maprosoo was JF Na baadae wana mwaga na kuwanyali juu.
Safariii hii lami watatambalia ulimii alooooh
Watu weweeeeeee!!! 😂😂😂😂😂
Jamani chuma gani tena hiki? 😻
😂😂😂 udugu una nini lakinii? Mbona uko nginja nginja sanaa??😹😹😹😹 Si nikapitiwa na usingizi..!!
Umbea huu sijui walinipiga kipaipai 😹
Single maza kanichekesha, hafu kumbe kila toto na baba ake..!! 😹
Ndiomana limewehuka linajichetua kama vuta bangi..!
Sasa bana nasikia kapinduliwa na udugu wake lina makasiriko, penzi liko lebu lebu na analitolea Siri zake zote mpaka kuuza papa telegram 😹😹😹
Udugu kumbe watu wana stress za child support 😹😹😹😂😂😂 udugu una nini lakinii? Mbona uko nginja nginja sanaa??
Sitii neno, 😂😂😂Udugu kumbe watu wana stress za child support 😹😹😹
Nilitaka kushangaa kwa li mwili lile ka fuko la mawe linakosaje kuwa single mazaz 😹😹
Ya mwisho 😁😁😁Jamani chuma gani tena hiki? 😻
Em selfika full basi hatukukabi kaka mzuri..!! 😹😹
Mamaa! mamaa! 😻
Em njoo kabla sijapitiwa na usingizi 😹😹Sitii neno, 😂😂😂
Tukutanee baadae.