Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Balaa snaa hao,, tena hao ukiweka vocha ukashangaa shangaa unakuta mia haiko..Heee kumbe hadi uko ni wapigaji
Mb zinatembea balaa
4G yao sio ya kitoto
Na wao wanatukomesha
Balaa snaa hao,, tena hao ukiweka vocha ukashangaa shangaa unakuta mia haiko..Heee kumbe hadi uko ni wapigaji
Halafu whyyyy watuandikie bando la masaa 24 au la mwenzi hali ya kuwa si kweli😬😬Kweli bado ni yaleyale tu😂💔💔💔💔
Tanzania jamani Cha moto tunakiona😂😂😂😂
Kabisa mwenye mbunu mbadala atupee tu !Kwa kweli tutafute mbinu 😬
Mjomba kaisha lala, nipo kama kuku wa kisasaSelfika basi mjomba wangu memis kuona zile uzoshevu mjomba!!😉
Tulikuwa na binti hataki kula chakula kingine nje na wali.Mie sasa huyu binti Yangu wa kazi na kina junia ni wanataka wali kila leoooo asubuhi mchana jioniii huwaambii ugali ni wali tu hawana mdaaaa!! Huku niliko uliza bei ya mchele sasa!! 🙌🙌🙌🙌
Mitano tena
Bora watu tu hizo sijui wiki,mwezi..Halafu whyyyy watuandikie bando la masaa 24 au la mwenzi hali ya kuwa si kweli😬😬
Hili tatizo nilijua liko kwangu tu...mie mara nyingi nikiweka nakuta 200 haipo na sijajiunga na huduma zozote!Balaa snaa hao,, tena hao ukiweka vocha ukashangaa shangaa unakuta mia haiko..
Mb zinatembea balaa
4G yao sio ya kitoto
Na wao wanatukomesha
Mimi siwezi 😂Voda ni washenzi sana😂
Mimi nimeacha hivihivi kutumia voda
Kuna siku dada angu aliwapigia akawauliza bando langu la week why ndani ya siku tatu limeisha wanazuga eti Youtube ndio sababu 😁😁😁Bora watu tu hizo sijui wiki,mwezi..
Waweke tu kuwa ni bando za masaaa🤣🤣
Kitu kinatoboaga mwezi ni zile sms za 2000Halafu whyyyy watuandikie bando la masaa 24 au la mwenzi hali ya kuwa si kweli😬😬
Kitu kinatoboaga mwezi ni zile sms za 2000
Mie nilimuweka chinii nikamuelekezaa.. bwana dogo maisha yanaenda hivi na vileee.. uzuri huku tulipo vyakula vya asili kibaooo nawaambia tu mkichoka kubadili viazi mihogo magimbi kuna ngano pikeni maandazi chapati au chochote mnachotaka ngano ipo ndani mayai telee nyie tu mpike za kumimina au laa! Siku wali ukibaki usiku sauwaaa nyie asubuhi kuleni hadi msazee!!Tulikuwa na binti hataki kula chakula kingine nje na wali.
Akawa anapika mwingii usiku ili ale kesho asubuhi na mchana na ukibaki anamwaga.
Nikafunga store nikawa napima..
Dhambi za kuharibu chakula na wakati watu Wana uhitaji.

!!Nimecheka jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🤣🤣
Mimi walinikata vocha yangu.Kuna siku dada angu aliwapigia akawauliza bando langu la week why ndani ya siku tatu limeisha wanazuga eti Youtube ndio sababu 😁😁😁
Unalea binti na kashkaji kake😂😂😂😂😂😂💔💔Mie nilimuweka chinii nikamuelekezaa.. bwana dogo maisha yanaenda hivi na vileee.. uzuri huku tulipo vyakula vya asili kibaooo nawaambia tu mkichoka kubadili viazi mihogo magimbi kuna ngano pikeni maandazi chapati au chochote mnachotaka ngano ipo ndani mayai telee nyie tu mpike za kumimina au laa! Siku wali ukibaki usiku sauwaaa nyie asubuhi kuleni hadi msazee!!
Hivohivo akawa Usiku anapimaa mwingii nikamwambia wee usintanieeee!!
Nikawa nafungia mafuta nampimia namwambia hayo wiki mbili dogo!!
Binti mwingine nikamleta si akapata kakijana kasela ka kujipigia weeee alininyoosha! Mie nikiwa kazini Msela anakuja kuanzia asubuhi anaondoka muda naokaribia Kurudi kazini...
Tukifunga nilikua namuacha hata mwezi au wiki 2 hivi nzima kumbe Ndiokwanzaaaa mwamba alikua anahamia kabisa as if wameoana hapo kwangu wanakula wanalala wanajiachia vyakutosha! Siku waakiamua kupikia hapo wanapikaaa wanakulaaa... wakiamua kupikia kwa mwamba Binti achota tu mavitu wanaenda kupika hukoo!
Sasa nikawa nashangaa Mbona vitu vinaisha mapema na mtu yuko pekeake how which where???
Au kama tupo ila Mbona sikuhizi vinawahi kuisha??? Siku nilisahau kitu nikarudi ghafla nilichokikuta!!
Fanya namna uje tucheke wotee usiwe mchoyo 😁😁Nimecheka jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🤣🤣
Wengine wanatuma eti ndugu mteja,utajuta🤣🤣🤣🤣🤣🤣
DuhHebu jichagulie mwenyewe kitu cha mimi kukufanya
Mimi napambana na AirtelMimi siwezi 😂
Walinikataga salio nikakasirika, nikaenda Tigo.. tigo jau tupu, speed haifikii voda..
Nikajionea tabu, nikarudi zangu voda
Chizi wewe😂😂😂😂😂Duh
Hii nafasi niipate mimi
Haki dunia ingefurahi