Mie nilimuweka chinii nikamuelekezaa.. bwana dogo maisha yanaenda hivi na vileee.. uzuri huku tulipo vyakula vya asili kibaooo nawaambia tu mkichoka kubadili viazi mihogo magimbi kuna ngano pikeni maandazi chapati au chochote mnachotaka ngano ipo ndani mayai telee nyie tu mpike za kumimina au laa! Siku wali ukibaki usiku sauwaaa nyie asubuhi kuleni hadi msazee!!
Hivohivo akawa Usiku anapimaa mwingii nikamwambia wee usintanieeee!!
Nikawa nafungia mafuta nampimia namwambia hayo wiki mbili dogo!!
Binti mwingine nikamleta si akapata kakijana kasela ka kujipigia weeee alininyoosha! Mie nikiwa kazini Msela anakuja kuanzia asubuhi anaondoka muda naokaribia Kurudi kazini...
Tukifunga nilikua namuacha hata mwezi au wiki 2 hivi nzima kumbe Ndiokwanzaaaa mwamba alikua anahamia kabisa as if wameoana hapo kwangu wanakula wanalala wanajiachia vyakutosha! Siku waakiamua kupikia hapo wanapikaaa wanakulaaa... wakiamua kupikia kwa mwamba Binti achota tu mavitu wanaenda kupika hukoo!
Sasa nikawa nashangaa Mbona vitu vinaisha mapema na mtu yuko pekeake how which where???
Au kama tupo ila Mbona sikuhizi vinawahi kuisha??? Siku nilisahau kitu nikarudi ghafla nilichokikuta


!!