National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
ππππ muwe mnaweka na nyieNimeona tu linamba lako πππ
Nikaishia hapo
ππππ muwe mnaweka na nyieNimeona tu linamba lako πππ
Nikaishia hapo
Sawaππππ muwe mnaweka na nyie
Uhali gani kijanaππππ
Naendelea poa jirani, habari ya weweHabari jirani, unaendeleaje.
Marahaba.....Shikamoo jirani
Mimi sijambo kabisa jirani..Naendelea poa jirani, habari ya wewe
Vema jiraniMimi sijambo kabisa jirani..
hali ni π₯π₯π₯Uhali gani kijana
Naomba vochahali ni π₯π₯π₯
Njoo home uchukue πππNaomba vocha
hahahaha,umeanza ubishi wako

Saivi au πNjoo home uchukue πππ
ewaa asahivi chapSaivi au π
Aiseee nipo around the corner G hapo πππ
hahahahahaha
NakujaaaaaaaaaπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈewaa asahivi chap
mawardat
Dyadya mie tangu nimezaliwa na kukua kwangu, na uzururaji wangu wote had leo hii sikuwahi ona Range Rover hapa Songea.
Leo mchana nikiwa nazurura town ndo nkabahatika kuiona Range Rover, rangi ya silver, ilikuwa imepark pembeni ya Duka la Mohamed Enterprises Ltd.
Nilipigwa na butwaa had nkawa najistukia mwenyewe., yaan niliishtuka kuiona paleee, uwiiiiiih.
Ila Songea now imebadilika, yaan inakua kisasa, nimekubaliii.
Songea kumekuchaaaaaa!!!! Kesho twende jion kariakooo tukasagule viwalo, woiiiiiiiii




mlongo