Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Me niko poa bagheshi, kumekuchaUmeamkaje Li zuri
Nipo mizani nyakahura
Msalimie ndugu yangu
National Anthem na Lenie na Heaven Sent na Saint Anne
Me niko poa bagheshi, kumekuchaUmeamkaje Li zuri
Nipo mizani nyakahura
Msalimie ndugu yangu
National Anthem na Lenie na Heaven Sent na Saint Anne
Pole broTall Dark and Handsome + Uchebe
Braza hii kitu inanitesa wallah
Nimekuja huku Nampalahala kutafuta hii kitu lakini wapi?
Kwenye orodha umebaki peke yako chief![]()
Nimelala tu ile saa 4Usiku ulikesha nini😂
Au ndio kuchoka jana
Sijambo, selfika kwanzaUmeamkaje Li zuri
Nipo mizani nyakahura
Msalimie ndugu yangu
National Anthem na Lenie na Heaven Sent na Saint Anne
Yaani wewemawardat
Dyadya mie tangu nimezaliwa na kukua kwangu, na uzururaji wangu wote had leo hii sikuwahi ona Range Rover hapa Songea.
Leo mchana nikiwa nazurura town ndo nkabahatika kuiona Range Rover, rangi ya silver, ilikuwa imepark pembeni ya Duka la Mohamed Enterprises Ltd.
Nilipigwa na butwaa had nkawa najistukia mwenyewe., yaan niliishtuka kuiona paleee, uwiiiiiih.
Ila Songea now imebadilika, yaan inakua kisasa, nimekubaliii.
Songea kumekuchaaaaaa!!!! Kesho twende jion kariakooo tukasagule viwalo, woiiiiiiiii

Tuamke tu tukaparangane, hamna namna😂😂😂Nimelala tu ile saa 4
Lakini naona Natamani niendelee kulala
Sema maisha hayaniruhusu 😂🤣
Jana nilichoka,, sijui hata nilichoka nini
LinachezwaKombe la dunia lini?
Niko poa sanaBonjour selfika.mko poa humu?
linaanza week ijayo, tanzania vs brazilKombe la dunia lini?
kwema kamandaNiko poa sana
Tunaishi humuu 😁😁😁 kama wajua wajua tuAmkeni mkateseke nyie watu mlio single![]()
Stika ya konzi 😂Tuamke tu tukaparangane, hamna namna😂😂😂
Ulichoka na mengi didi ake, we jitafakari vzuri
🤣🤣🤣🤣🤣Stika ya konzi 😂
Stika ya nyani kakaa pembezoni mwa sink 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Skika ya kipaka kinakata mauno
Hii nakutumia live saivi🤣🤣Stika ya nyani kakaa pembezoni mwa sink 😂😂😂
Anagonga kimguu like all is 🚮
Tayari huko juuSelfika Vale
Hahaaaa toka zakolinaanza week ijayo, tanzania vs brazil
hahahaha,umeanza ubishi wakoHahaaaa toka zako
Zichukue tu maana hata exchange rate yake haifurahishi 😕😕Mie zangu Euro , nimewahi 😁😁😁