Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

software Engi wachache wengi wanaishiaga kuwa ma programer au web dev
Kusoma inahitaji passion, lakini kuna fursa kubwa sana... na kazi hizi zenu inabidi kuji update kila siku, tech inakimbia kwa kasi, being a programmer usually means to become a life long learner you'll constantly be learning things, be prepared...

Soft Eng wengi unakuta wavivu, lakini kuna fursa kubwa..

Mkuu nikutakie siku njema.
 
Nimeshatumia asilimia 75 uwii🥺
Airtel🚮
 
Attachments

  • Screenshot_20220830-184048.jpg
    Screenshot_20220830-184048.jpg
    83.5 KB · Views: 7
Nimegundua pesa ninazotumia kuunga bando la mchongo kila siku kwa mwaka nina nyumba ya vyumba sita😬😬
😂😂😂😂💔🙌
Mimi mwenyewe nilifanya hii hesabu ya elfu2 Kwa siku...nikagundua nateketeza hela nyingi.

Sasahivi napambana nitafute VPN za bure...nasikia zipo ila zinakubali Kwa line ya Halotel.

Naenda kusajili🙌
 
Yaani kuna vitu unawaza ukiacha tu unatoboa kimaisha hasa kirusi bando 😬😬😬
 
Yaani kuna vitu unawaza ukiacha tu unatoboa kimaisha hasa kirusi bando 😬😬😬
Kuna Uzi wa VPN naufwatilia Kwa karibu.
Hizi bando zitatupa magonjwa ya moyo😂😂😂😂😂😂.

Nikisema niunge la mwezi ndio kabisaa,linaisha ndani ya siku 4.

Wamenitumia tena msg🤣💔
 
Attachments

  • Screenshot_20220830-185830.jpg
    Screenshot_20220830-185830.jpg
    68.5 KB · Views: 6
Back
Top Bottom