AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,408
- 6,273
Ndo umepindisha mdomo
Ndo umepindisha mdomo
Uwiiiii ningezimia nikufwe kabisa🤣🤣Nimekumbuka kuna mtu aliweka nudes status 🤣 haya haya mambo ya kuchanganya files…
Nashangaa mtu ananipigia D njoo kwangu, naenda namkuta kawa mwekundu balaa.. namuuliza vp? Akanambia kwani hujaview status yangu?
Nikamwambia bado, ila kwakuwa nna wasap gb nitaona tu hata baadae..
Ndio akaanza kulia masikini,, namuuliza vp ? Si ndio kusema nilikuwa namtumia babe pics nimetouch vibaya zimekuja status 🤣🤣🤣
Kwanza nilicheka 😂😂😂
Pili nikamwambia omba msamaha huko status then un istall wasap, kisha vunga like nothing happened..
Ikafata kazi ya kumbembeleza 😃😃
Msela mmoja fundi pikipiki aliwahi kupost status pic ya ub** , lengo ilikuwa ni kumtumia manzi mwanamke wake ambae walikuwa wana videocall.Uwiiiii ningezimia nikufwe kabisa🤣🤣
Hata sitaki kuimagine alifeel vipi maskini, hizi mambo za kuchanganya mafile sio kabisa
Mwenyew niliwah post status picha ambayo nilitakiwa nimtumie mtu, sasa nashangaa mbona hajibu na alikua online mida hiyo, nikasema nicheki labda haijaenda hee nakuta chat haina picha wee nilishtukaa😂
Bahati nzuri haikua picha mbaya
Chakula gani hiki!?
Hata sipajui huko.ndio
Kituo cha Macho unakunja kushoto kama umetokea Namanga, mbele kidogo kuna soko kubwa

Ballaaa ,Kuna msasani uswazi hatari inaungana na mikocheni B huku uswahilini mafuriko Kama yote,yaani vijumba vya kizamani mnooo...
Mi nakumbuka aunt yangu alikua anakaa Mikochenk B unashuka may fair ukiingia huko ndaniutakufwa yaani ni slums tupuuu!
Dar uzunguni ni Masaki,na Obey tuuu!kungine uswazi kama kawa

nlikua hata sijui mie lol.Thio Mimi🤣🤣Ngoja aje atoe ushuhuda Mama Mchungaji eti ni wewe kweli? Heaven Sent
Gentleboe.!!!
AiseeNimekumbuka kuna mtu aliweka nudes status 🤣 haya haya mambo ya kuchanganya files…
Nashangaa mtu ananipigia D njoo kwangu, naenda namkuta kawa mwekundu balaa.. namuuliza vp? Akanambia kwani hujaview status yangu?
Nikamwambia bado, ila kwakuwa nna wasap gb nitaona tu hata baadae..
Ndio akaanza kulia masikini,, namuuliza vp ? Si ndio kusema nilikuwa namtumia babe pics nimetouch vibaya zimekuja status 🤣🤣🤣
Kwanza nilicheka 😂😂😂
Pili nikamwambia omba msamaha huko status then un istall wasap, kisha vunga like nothing happened..
Ikafata kazi ya kumbembeleza 😃😃
HazijafikaaaaaaWamekupa mkeka tu ? Mbona niliwapa mizawadi kibao
Mie niko maresh maresh, mic u.

Mzima kabisa, za wewe Mac?
Ni mikocheni A na sio B maana uswazi msasani inaanzia magunia mwisho kule kwa wahaya!Ballaaa ,Kuna msasani uswazi hatari inaungana na mikocheni B huku uswahilini mafuriko Kama yote,yaani vijumba vya kizamani mnooo...
Mi nakumbuka aunt yangu alikua anakaa Mikochenk B unashuka may fair ukiingia huko ndaniutakufwa yaani ni slums tupuuu!
Dar uzunguni ni Masaki,na Obey tuuu!kungine uswazi kama kawa
Umekuja kivuruge wa Jf, Coca bwanaa😄Mie niko maresh maresh, mic u.![]()
Maskini🤣🤣🤣Msela mmoja fundi pikipiki aliwahi kupost status pic ya ub** , lengo ilikuwa ni kumtumia manzi mwanamke wake ambae walikuwa wana videocall.
Yeye alupost pic na description kabisa akidhani anaisindikiza pic na maneno kumbe kitu kinaenda viral, na alitulia muda mrefu bila kuifuta mpaka alipokuja kupigiwa na ndugu kuuliza imekuwaje ndo akashituka, kilichokuja kuharibu sikuhizi ni GB tsup hizi😂😂.
Nimefurahi kukuona Heaven Sent😊.Mzima kabisa, za wewe Mac?
Pita naked shangaziiiiii.Watu wamelala najisikia kupita naked no filter naileta sura ya kazi jamvin![]()