Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,999
- 27,974
Boss unamwagilia moyo ondoka na pisi BossNambie boss.
Kasi ni kubwaSasa hivi harusi ni nyingi
Watu wameamua
Auntie ushapita Naked au bado???🙆🙆🙆Watu wamelala najisikia kupita naked no filter naileta sura ya kazi jamvin🤣
Kakalakeee 🤩🤩🤩😍Site muda huuView attachment 2295756
Ulisema utatupia mkuu tupia basiNambie boss😂.
Si unapenda umbea ndio maana unachanganya madesa🤣🤣Alijipost uzi gani huko habari na hoja mchanganyiko,, kama mm mchana ile picha kuna mtu wa branch alinambia msalimia sis flani,, sasa mm ndio nikamzoom nikampiga picha nimtumie,, ndio ikatokea picha ikaja kwako 😂😂
Anakua zezeta namtuma sokoni, namtuma namwambia akune nazi, namwambia awapikie wageniNdo likoje hilo
Familia usahau Ila utakipataSawa. Bby Niloge tu na kombola la Kusukuma nisjielewe kwako sem usizidishe dawa nkasahau familia yang ety malkia wangu mrembo Lovelovie
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Dah hatariAnakua zezeta namtuma sokoni, namtuma namwambia akune nazi, namwambia awapikie wageni
AsantesanaAiseeh karibu sana sister😄.
Mwanza Hotel hapa.
Aah wap picha yenyew siioni🤣Auntie ushapita Naked au bado???🙆🙆🙆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂Si unapenda umbea ndio maana unachanganya madesa🤣🤣
Jamaniii Sophy!!!!Aah wap picha yenyew siioni🤣
🤣🤣🤣Jamaniii Sophy!!!!
Shida ni kwamba nikitoka hapa safari ni home, na tayari simu zoshaanza kumiminika hapa😂.