Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Gb 12…. 20kUnataka ya bei Gani sema tu.. ila unajua 😆😆
Nnajua jua nn? 😂😂😂
Gb 12…. 20kUnataka ya bei Gani sema tu.. ila unajua 😆😆
Nitafanya kabisa 30GB ila mambo yawe moto .. tuweke zoom kabisaa eeeh full hdGb 12…. 20k
Nnajua jua nn? 😂😂😂
Mie mzima,, za weye?
Khaaaa ww binti ww haya na ww ukapate mchumba hukoKama sie
Karibu nawe
Haya ndo muda wa kupata mchumba kwenye darasa la vijana wakubwa . Uende na wewe
Nitaenda kusikiliza mwaka huu nipate mafunzo mapya .





😂😂😂😂😂 ndiwoooNitafanya kabisa 30GB ila mambo yawe moto .. tuweke zoom kabisaa eeeh full hd
Nzuri tu, mambo yanaendaje pande hizo?Mie mzima,, za weye?
Kaa hapo hapo bina..Kaa mguu pande tayari Kwa kukimbilia vocha ntayotupia😂tuma vocha
Mamaeee ww ni legendary wa VPNImagine .. anaokota sabuni unaona Ninina Ile miguu mizuri na kale ka rangu.. alafu taa Huwa ni full hapo.. acha badae tufaidi sie maisha ndio haya haya





🧖🧖🧖🧖🧖🐎🐎🐎🐎🐎🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂 ndiwooo
Nipo salama pia, huku kwema tu.Salama vipi wewe ?
Habari ya jioni
Nikale mayonaizi Sasa kwanza😂😂😂😂😂 ndiwooo
Mungu ni mwema…Nzuri tu, mambo yanaendaje pande hizo?
Ambavyo sijakaa kisabato sasaKhaaaa ww binti ww haya na ww ukapate mchumba huko
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Pitia dukani kwanzaNikale mayonaizi Sasa kwanza
Amen nawe piaNipo salama pia, huku kwema tu.
Barikiwa.
😆😆😁 Natumia Ile yenye kasungura au proton Ili hacker wasije doea kikao chetu
Simulia Kwa picha.Kaa hapa kwa kutulia nikusimulie bina wako alivyokua mcharo🤣
Bank is problem solver 🙍🙍🙍Pitia dukani kwanza