Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,864
🤣🤣Ayaa mwenye namba inaishia 01 nakusalimia
🤣🤣Ayaa mwenye namba inaishia 01 nakusalimia
Ni wewe nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni Depal huyo unaona anavyokicheka madam🤣🤣Ayaa mwenye namba inaishia 01 nakusalimia
[emoji2][emoji2][emoji2]Ayaa mwenye namba inaishia 01 nakusalimia
Vita ni vita mura [emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]
Vita vimekua vikali
Ni wewe umeiwahi mkuu?[emoji2][emoji2][emoji2]
Vita vimekua vikali
Nazingua 🤣🤣Ngoja aje atoe ushuhuda Mama Mchungaji eti ni wewe kweli? Heaven Sent
Hivi hamna namna ya kuiona yote 😀😀Ayaa mwenye namba inaishia 01 nakusalimia
Au ni wewe kiongoziHivi hamna namna ya kuiona yote 😀😀
Hapana mkuu, nimeshangaa ugumu wa vita maana nimieona post ikiwa na dk 1 tuu, nikasema leo imenidondokeaNi wewe umeiwahi mkuu?
Salama jirani, hujamboUmeamkaje jirani
Hamna 🤣 code uwa hazipoHivi hamna namna ya kuiona yote 😀😀
Hapana mkuu ukiona namba inaishia na 810 ni ya kwangu wa usiulizeAu ni wewe kiongozi
Hamna[emoji16]Hivi hamna namna ya kuiona yote [emoji3][emoji3]
Mkuu natamani ningekua mimi.
Aliyekwambia ulaleNina usingizi kama vile sikulala usiku Lenie
Si utupe sisi tuliokosa yaani umuongezee kabisa [emoji1787][emoji1787] au ndio ile be aliye nacho ataongezewa?Mkuu natamani ningekua mimi.
Ila kwa speed aliyotumia huyo aliyeipata[emoji2][emoji2], ajitokeze nimuongezee, maana ni kufumba na kufumbua.