myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Anapeleka na kuchugua bidhaa tu..Aah basi huyo sio mtu mzuri 🤣 hawezi kuwa gaidi?
Anapeleka na kuchugua bidhaa tu..Aah basi huyo sio mtu mzuri 🤣 hawezi kuwa gaidi?
😂😂😂 nina magauni spesheli ya kwendea kwa wakubwa, hivyo shaka ondoaIla ukija usivae kale kakaptula nitakachana wallah😅
Kama lile na mama mchungaji ni sawa kabisaa😂😂😂 nina magauni spesheli ya kwendea kwa wakubwa, hivyo shaka ondoa
Kama yake ya janaKama lile na mama mchungaji ni sawa kabisaa
Ya mama mchungaji ni ndefu we.......Kama yake ya janaView attachment 2294949
KhaaaYa mama mchungaji ni ndefu we.......
Hatukuona upaja kama hiyo ya kwako
🤦🤦🤦🤦🤦 Marahabaaa shangazii
😄😄😄😄 Rise and Fall kumbee inakumbusha wengi..Rise and fall nimekumbuka mbali
I wish zaman ingekuwa sasa
🙆🙆🙆🙆🙆 Wamekupa mkeka tu ? Mbona niliwapa mizawadi kibaoUncle nimepewa mkeka wako wa zawadi hapa. Naona kuna Kila dalili utahamishia "Little More" mjengoni.
Aww 😊
Eeeeeh hatari hii sasaAlikua anamrutubisha junia🤣🤣🤣
Set fire to my purposeTo know me is to love me!
Mie uzuri nakulaga Hadi kilicho Isha 🙍🙍Cha kwako hakiwezi kukosekana 🙂
Nililalia godoro langu la comfy nchi 8 upande wa ukutani 🤣🤣🤣 original nilinunua kwa wakala mkuu