Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
We si unaishiaga ushuani ndio maana uswaz hupajui😁Hata sipajui huko.![]()
Kesho nikienda tena nakutumia picha
We si unaishiaga ushuani ndio maana uswaz hupajui😁Hata sipajui huko.![]()
Dada mmoja alikua ana vipele kwenye matiti akawa anantumia nione nimtajie dawa akabandika status mpemba wa watu masikiniUwiiiii ningezimia nikufwe kabisa🤣🤣
Hata sitaki kuimagine alifeel vipi maskini, hizi mambo za kuchanganya mafile sio kabisa
Mwenyew niliwah post status picha ambayo nilitakiwa nimtumie mtu, sasa nashangaa mbona hajibu na alikua online mida hiyo, nikasema nicheki labda haijaenda hee nakuta chat haina picha wee nilishtukaa😂
Bahati nzuri haikua picha mbaya
Na 30% ya connection huvuja hovyo, ndiomaana unakuta watu wanajua kila detail za muhusika (hata kama ni mwanafunzi), kwasababu zipoenda viral zinangukia kwenye wamiliki wa GB tsup ambao wanawajua vizuri kabisa.Maskini🤣🤣🤣
Unaweza tamani ardhi ipasuke udumbukie huko upotelee mbali sio kwa hayo maswahibu
Hizo GB wasapu sio kabisa na wanaotumia ni wakuda sana😂
Ahsante sana mpendwa. Endelea kumwagilia moyoooNimefurahi kukuona Heaven Sent😊.
Umekuja kivuruge wa Jf, Coca bwanaa![]()




twende jukwaa la soka tukakiwasheee. Hapa hapana issues sahivi.Niliwahi fika masaki jaman nyieee, acheni tyuuh.We si unaishiaga ushuani ndio maana uswaz hupajui
Kesho nikienda tena nakutumia picha
Shangaz nasinzia asubuh nakuja hapa usiwazePita naked shangaziiiiii.
Fala wewe😂.twende jukwaa la soka tukakiwasheee. Hapa hapana issues sahivi.
Asubuh ya mda gan? Maana nachelewa kuamka.Shangaz nasinzia asubuh nakuja hapa usiwaze
Daah maskini sijui baada ya hapo unaangaliana vipi na hao watuDada mmoja alikua ana vipele kwenye matiti akawa anantumia nione nimtajie dawa akabandika status mpemba wa watu masikini
Saa nne hivAsubuh ya mda gan? Maana nachelewa kuamka.
Fala wewe.
Haya tangulia unitag nakuja tukichafue.



wee lofa napenda ukimpaga mabanzi yule kichaa wa utopoloo bas nakua full burudaan. 






Ntakuwepo shangazi.Saa nne hiv
Pia kwa groups aiseeDaah maskini sijui baada ya hapo unaangaliana vipi na hao watu
Inasikitisha mno, inabidi kuwa makini na matumizi ya hizi simu zetu as teknolojia nayo haipotezi kituNa 30% ya connection huvuja hovyo, ndiomaana unakuta watu wanajua kila detail za muhusika (hata kama ni mwanafunzi), kwasababu zipoenda viral zinangukia kwenye wamiliki wa GB tsup ambao wanawajua vizuri kabisa.
Mmoja wa aliowahi kuwa mhanga (mwanafunzi) alidai alikuwa amelewa akajikuta tu kaipost status watu wakasambaza.
Watu wanaishiiiiNiliwahi fika masaki jaman nyieee, acheni tyuuh.
Daaah nomaaaaah!!!
Hivi kwa groups ukikisea ukafuta bahati mbaya mtu wa GB wasapu kwake haifutiki?Pia kwa groups aisee
Unaweza ukakosea ukashare kwa groups
Mimi ndo maana magroup nimeyaweka Archive huko ..
Hivi kwa groups ukikisea ukafuta bahati mbaya mtu wa GB wasapu kwake haifutiki?
Niliwah kosea kutuma picha za bidhaa kwa group ila nikawah kuzifuta fasta na nikaomba radhi ila mtu mmoja akanifata inbox akaniambia picha zako umefuta ila bado ninazo na akanitumia...nikashangaa
Bora wazifunge tu maana wengine wanazitumia vibayaGb WhatsApp hakifutiki kitu aisee , ndo shida hiyo
Hata kwa message ukifuta yeye anaona tu. ..
Kuna muda walizifunga ilikuwa nafuu kidogo ndo hivyo itabidi tuwazoee tu hao .
Yaani siku moja nipo kwa daladala nimechoka narudi nyumbani sasa nasoma sms kwa group
Nikasinzia hapo nashangaa tayari imejituma voice note kwa group ,upepo tu na makelele ya bus .
Bora wazifunge tu maana wengine wanazitumia vibayaGb WhatsApp hakifutiki kitu aisee , ndo shida hiyo
Hata kwa message ukifuta yeye anaona tu. ..
Kuna muda walizifunga ilikuwa nafuu kidogo ndo hivyo itabidi tuwazoee tu hao .
Yaani siku moja nipo kwa daladala nimechoka narudi nyumbani sasa nasoma sms kwa group
Nikasinzia hapo nashangaa tayari imejituma voice note kwa group ,upepo tu na makelele ya bus .