cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,706
- 189,021
Sijui likoje hili li mtu, limeniudhi leo, khaaahAfu kapotea
Sijui likoje hili li mtu, limeniudhi leo, khaaahAfu kapotea
Wacha weee!!!Sasa hivi nipo kawe nasogea sinza alafu kitu kikuu itakuwa m.city
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo.Mimi naingia mpaka na viatu [emoji1787]
Ukinipiga tukio basi naenda kulilia mbeleee.
Nikinyamaza, narudia tena kupenda kwingine [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama mabwana zetu ni mashemeji zako kwanini kutwa kusema mtaachana tu
SawasawaSawa jirani, Najitahidi
Inshaaallah.Ipo siku mtarudiana ninaamini
Nasukuma kinyeo changu tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi unasukuma X6 au matako yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kukutwa Red handed kuna usalama au utetezi tena? Pale sikua na cha kufanya afu nilivyo mjinga nkaanza kutibua, daaah akili za utoto, hata msamaha sikua na mda wa kuombaa. Nilijiona mjuaji.Pamoja na unyakanga wako ba bado ukaachwa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaa kipenziiii, huwa naumia mnooo.Kwanin ujitese?tafuta mawasiliano Yake muombe msamaha uwe na amani.kuna baraka ipo sehemu unaiblock
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayanaga muongozo [emoji28][emoji28]
Niliwahi kupendwa na demu mmoja mjeda,pamoja na utundu wote kuanzia kulimwaga Uno km la diamond Kwa zari hadi kumwimbia Kwa gitaa na miruzi wakati wa kugugeda lkn niliachwa[emoji28]
Hapana kipenziiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza [emoji23][emoji23]
Unyooshage pasi cadet nawee, km katafuna ng'ombe lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiki labda [emoji143][emoji143][emoji143]View attachment 2276455
Nimependa sijui glass sijui kikombe, kipo vyedi.View attachment 2276489
Wajukuu wananifundisha kula vitu nisivyozoea [emoji39]
Subiri nikipata demu, atakuwa ananipigia pasi, sasa hivi acha nipambaneUnyooshage pasi cadet nawee, km katafuna ng'ombe lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kutuwekea mgongo ndo nn? Kwan unataka tuweke matangazo.Uta guess mwenyewe mimi ni yupi hapo[emoji28][emoji28]View attachment 2276542
Mapenzi yamewakuta wenyeweeee.Penzi sitolibadili kwa udi hata ubani
Penzi letu liwe tamu, tamu lishinde asali
Mpenzi usinidhulumu nipe raha za ndani zote
Ziishi moyoni mwangu milele hata milele
Ziwaudhi maadui wasopenda penzi letu
Ziwaudhi maadui wasopenda penzi letu
Nataka niwe na wewe milele
Nataka tuwe na watoto baby
Nataka tuishi wote pamoja
Nataka niwe na wewe milele
Nataka tuwe na watoto baby
Nataka tuishi wote pamoja
Kila kukicha natabasamu
Nina furaha kuwa na wewe
Wanipa raha bila karaha
Mimi na wewe furaha tele [emoji3059]
Hapo tuUsiku wa kuwa karibu na blanket chapa mtu ..