Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe ni mchawi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Jinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimecheka kama mwehu[emoji23].

Tulia tafuta kiti kula ugali kwanza.View attachment 2276422

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Na hii njaa niliyo Nayo hapa,nimeishia kutamani Tu hiki chakula,hasa tembele[emoji39][emoji39]
 
Wala sio sababu hiyo [emoji23] kuhusu viatu unanidanganya. Hiko kipya ole wako ugawe sasa .
Hiki labda 🙍🙍🙍
IMG_20220629_145840.jpg
 
Back
Top Bottom