Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Narudia tenaKuna binti kanichamba huko juu,ananiambia utumie mafuta ya Nazi kwani wewe junior? Nikapita kimya kimya
Narudia tenaKuna binti kanichamba huko juu,ananiambia utumie mafuta ya Nazi kwani wewe junior? Nikapita kimya kimya
ndio magari yetu watembea kwa miguu so lazima tuchague vikaliKweli, sema unajua kuchagua viatu big up!!
Heeee weweNi marufuku
Kurudiana
Nimekula tumbo limejaa,uzuri hayasumbui kutafuna..tofauti na nyama ya kawaida.Kumbe, haya nakuja kula![]()
Asee siyo Kwa kufaidi huku ankoli


utakua na ngozi nzuri na nyororoMwaka wa 5 nazaidi napka haya mafuta.full kunukia nazi tu😀😀
Ila kuna kaukweli hapa,ukisoma Kwa kutuliza fuvuUmeanza, mapenzi humea popote.
Nipe mbinu ankoli ya kumiliki gariUkiwa huna gari, hutokaa ukapata pisi kali sahahu.. nilikuwa nalinda bar moja dar acha tu.. mambo ya pale.. kama huna gari hata beach mkali hupati anakuona kama mwizi
Nakuja na kachumbari + samaki wakavu.
Ila ankoli huu uandishi wako unalichosha sn fuvu languHamna
Mie zangu kina
Havintishi na
Chausiku
Sasa tunatendeana nini
Tunakutana usiku gizani huko![]()



Nikupe mbinu ya kumiliki gari ilhali mwenyewe sina gari 😄😄😄 ebu acha utaniNipe mbinu ankoli ya kumiliki gari
Maini napenda mno kuwe na chapati + juice ya embe aiseeeNimekula tumbo limejaa,uzuri hayasumbui kutafuna..tofauti na nyama ya kawaida.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ankoli hapa ndy umeshuka kwenye gari umeenda kukojoa mkojo kisha uendelee na safari eeh
Exactly..Tembele Kwa kuongeza damu ndy mwakeKaribu sana.
Nasikia tembele ni zuri Kwa afya,hasa kuongeza damu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kumbe nipo kwenye Raiti trakiiExactly..Tembele Kwa kuongeza damu ndy mwake

Nitajaribu kesho kula na chapati nione kama yanaenda.Maini napenda mno kuwe na chapati + juice ya embe aiseee
Hahahaha lakni Nazi ni chakula haina Noma..Mimi nishawahi kuambiwa nanukia chapati,nikajinusaaa alafu nikasema itakuwa kweliMwaka wa 5 nazaidi napka haya mafuta.full kunukia nazi tu![]()


Huyu bangi nyingi,msamehe tuIla ankoli huu uandishi wako unalichosha sn fuvu langu
Naona kicomment likuuubwa,kumbe ukiunganisha kuekea Julia unapata mistari miwili Tu![]()




Babu na me naomba😋View attachment 2276489
Wajukuu wananifundisha kula vitu nisivyozoea 😋