cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,706
- 189,012
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We're far from the shallow now[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2276798
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We're far from the shallow now[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2276798
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallahSubiri nikipata demu, atakuwa ananipigia pasi, sasa hivi acha nipambane
Huu ugali wa kisukuma ankoli..Au nasema uongo mkuu Shimba ya Buyenze ?Mwanangu big up sana
Umeupika ugali
Imajini hata kwenye sufuria
Haikubaki kitu
Huo ndio ugali sasa[emoji106][emoji106]
Rangi pendwa? Wakati jf mnataka tall,dark with handsome face [emoji28][emoji28]Mwenye rangi pendwa
Niliuona nikakaa kimya tu lakini huo ndo wenyewe sasa. Mpe hongera sana aliyeupika [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Huu ugali wa kisukuma ankoli..Au nasema uongo mkuu Shimba ya Buyenze ?
Hebu njoo tule mahindi ya kuchemsha huku mjukuu achana na vikombe vyedi havitakufikisha po poteNimependa sijui glass sijui kikombe, kipo vyedi.
I'm so sorry you're going through this., I wish you recover very soon,Naendelea vizuri Captain,Dawa tu zinaniendesha kiasi.
Mungu ni mwema.
Ni muda sasa wa kunilipa deni.
Nishapona,lipa deni😃I'm so sorry you're going through this., I wish you recover very soon,
Subiri upone kwanza.
Nikikuwa mkubwa nataka niwe na kiuno kama hiki.Inspo[emoji3059][emoji3059]View attachment 2276915
Washa feniNikiwasha feni najihisi baridi,
Nikizima najihisi joto.
Sijui sasa nifanyeje hapa Wakuu😃
Nimewasha nimejikunyata,,nikigeuka kidogo tu baridi!!Washa feni
Kwa hiyo unaniambiaje mimi niliye mkubwa tayari na kiuno changu kimeungana na shingo?Nikikuwa mkubwa nataka niwe na kiuno kama hiki.
Jirani hujambo..Inspo[emoji3059][emoji3059]View attachment 2276915
PoleeeNikiwasha feni najihisi baridi,
Nikizima najihisi joto.
Sijui sasa nifanyeje hapa Wakuu😃
Sijambo jirani, za wewe?Jirani hujambo..
Salama kabisa..Sijambo jirani, za wewe?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo unaniambiaje mimi niliye mkubwa tayari na kiuno changu kimeungana na shingo?