Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
[emoji1787]Heeee wewe
[emoji1787]Heeee wewe
Sahivi naogopa kufungua voice zako
😄😄😄😄😄 zina nini we mtotoSahivi naogopa kufungua voice zako
Mwanangu big up sana
Mwenye rangi pendwaUta guess mwenyewe mimi ni yupi hapo[emoji28][emoji28]View attachment 2276542
NivumilieIla ankoli huu uandishi wako unalichosha sn fuvu langu [emoji28][emoji28]
Naona kicomment likuuubwa,kumbe ukiunganisha kuekea kulia unapata tumistari tumiwili Tu[emoji28]
Mchana umeniaibisha😄😄😄😄😄 zina nini we mtoto
Mwanaume na pressure cooker lake 😂
🙎🙎🙎🙎 mtu analia una aibikajeMchana umeniaibisha
Vilio gani vile vya kijinger 🙃🙎🙎🙎🙎 mtu analia una aibikaje
[emoji1787]Ndy tatizo lenu wenye maisha..Hampendi kutushirisha kwenye mbinu zenu Hadi mkafanikiwa,ili na Sisi tulambe asali
Ila nakuona kwenye nyuzi zote za magari ankoli unatoa nondo za maana..Yule jamaa wa kukataa kununua gari used za mzungu ambazo ni used from Japan sijui mlimalizana vipi ktk vita yenu,maana kila mmoja alikuwa anakaza fuvu hataki kumuelewa mwenzie[emoji28][emoji28][emoji28]
🙍🙍🙍🙍 sikia hiyo siku yako itaisha na burdanVilio gani vile vya kijinger 🙃
Ahaha airpods zimepotea🙍🙍🙍🙍 sikia hiyo siku yako itaisha na burdan
hiyo auhitaji airpodsAhaha airpods zimepotea
Haya maandishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ungejua usingebweka…
Kwa ufupi wako wengi[emoji1787][emoji1787]nachagua leo nataka fupi,ndefu,nyembamba au nene[emoji1][emoji1].
Lee nakusabahi kwa bashasha
[emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji1787][emoji1787][emoji1787]roho mbaya hii
😆Haya maandishi
Usiyachukulie serious
Pole rafiki
Napenda utani kuliko kula
Uzuri Saint Anne
Kananielewaga[emoji1787][emoji2089]
LiniNa anamkomeshaga vibaya [emoji23][emoji23]