Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
😃😃Sio kila fundi garage ana gari, na sio kila ukimpenda mwanamke anakuwa wako. Nayapenda tu magari, siku moja nikipata na mie pesa nanunua langu.. nitapost na vi picha labda naweza pata mpenda magari ,😄😄😄😄 maana najua Depal anapenda muungurumo kama wa simba.. akisikia muungurumo atanifikiria kidogo


