myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Kesho utapona, nakuombea hapa jirani
Kesho utapona, nakuombea hapa jirani
Jirani wa jf habari😆Salama kabisa..
Salama jirani, za usiku..Jirani wa jf habari😆
Njema sana.Salama jirani, za usiku..
Babuuuuh nimetamani hayo mahindi wallah. Ooohhhpppsss.Hebu njoo tule mahindi ya kuchemsha huku mjukuu achana na vikombe vyedi havitakufikisha po pote
View attachment 2276914
Mdada mzuri,
Usiku huu niko pwani ya mashariki ya kijiji chetu Tz.Njema sana.
Usiku huu uko jirani na nani zaidi?
Ulisema unazunguka kama dunia ikizunguka jua...nawe unaizunguka jf😂
Sawa, utakuwa tu mkubwa kama mimi
Haswa japo sijamjulisha,..Kwa hiyo ni jirani wa cocastic leo?
Toa taarifa tafadhaliHaswa japo sijamjulisha,..
Mama la mama shalom🤼Sijambo jirani, za wewe?
😄😄 Sawa jirani, nilikuwa kimya asubihi tu nahamia kanda ya kati..Toa taarifa tafadhali
Kanda ya kati tunaye nani?😄😄 Sawa jirani, nilikuwa kimya asubihi tu nahamia kanda ya kati..
Kama wewe jirani, kama sisi.😄😄Sawa, utakuwa tu mkubwa kama mimi
Wapo wengi, si vyema kuwataja...kwa sisi wapitaji ni salam tu hapahapa..Kanda ya kati tunaye nani?
Umekubali kushindwa 🤪Aisee....sawa
😅😅😅Wapo wengi, si vyema kuwataja...kwa sisi wapitaji ni salam tu hapahapa..
Nimekushtukia unaweza kuwa fisi mla kimyax2😆😆Wapo wengi, si vyema kuwataja...kwa sisi wapitaji ni salam tu hapahapa..
Wewe Mjukuu huchelewi kusema hicho Kinywaji ni Ulanzi wa kutoka Songea 🤪Nimependa sijui glass sijui kikombe, kipo vyedi.