Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yan dushwaaaaa
Paap paap paap paaap paaap paaap paap

Saba za motooo

Nyie maisha haya!! Ishini tu, maana hamjui dushwaaa litakuja saa ngapi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ushajiuliza hili shogaa?
20220531_212723.jpg
 
Sis
Alirudigi na picha..
akanipa nimtafute, simuoniii
Sura pauuu..
Wote wamefanana ๐Ÿคฃ

Bro yeye alikulaga doso takatifu mpaka akatoroka, wee wasimdake stand ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ anakwambia nilikomaaa.

Ukisikiliza story zao ni raha tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ambiwa nenda sasa!!
Me kipindi kile ingekuwepo aki nisingeenda, ningesingizia tu vyovyote nisiende
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Akili za usiku hizo


Em fanya zile kazi za watu, au ushamaliza?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ acha kabisa..

Kazi zijafanya.. hata bag la PC sijalifungua tokea nimerudi.
Work from home ni ngumu aisee ๐Ÿคฃ

Kesho mapema moja unusu niko kwa fasi ya duasi.. u seriousness nautune mpaka mbili flani hivi ya 3 kasoro natoboa.
 
Mbona Miss Buza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sema mshauri shoga ako awe anatandika hata kitanda basi kabla hajaingia mtandaoni na kuanza kujipost
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaamkaa
Kitanda hutandikiโ€ฆ
Huogiโ€ฆ
Mbio kutumia watu PMs zisizo na kichwa wala miguu.

Sijui kula yako unaitafuta saa ngapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee tupuu, woiiiiih
 
Msikapeleke bana, huku mtaani sidhan kama watafatilia hizo mambo.

Kumbe ni kale ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Wasije wakamharibia dimples zake
Eeh nikale.. hakataki kuteseka na kukata huto tunywele
 
Umbeya ume7bisha nisimalize kazi [emoji23][emoji23]

Akishindwa atupe CV tumsaidiee, kambuzi kale.. na ilo ndiyo kubwa linalomuumiza anabaki kuhaha pasi na sababu.
Kakija sasa jukwaani!! Ni nyoroo nyingi
Hasiraaa 7bu kalimalizwa uchochoroni [emoji57][emoji57]


Kalikuta file la ubongo wa nyuma limetulia [emoji28][emoji23][emoji23]
Ila hivi venye leo nimetibukwa!! Pm pasingetosha, tungejikuta tumemwagikia kwenye jukwaaa [emoji1787][emoji23]
Ubuyuuuuuuuh na mtauletaaa, tuuuh mie nausubiri mnooo.
 
Aisee kigoma ipo,nimetizama

Dogo kapangiwa Rwamkoma__mara........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeeeeh haipo siriazi,Mbinga to Musoma,halafu ni tarehe tatu atimbe[emoji23][emoji23][emoji23]...no no no
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sijapenda walivyowafanyia watoto wetu
 
Back
Top Bottom