Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Attachments

  • FB_IMG_1654021163883.jpg
    FB_IMG_1654021163883.jpg
    43.9 KB · Views: 7
😂😂😂 yan dushwaaaaa
Paap paap paap paaap paaap paaap paap

Saba za motooo

Nyie maisha haya!! Ishini tu, maana hamjui dushwaaa litakuja saa ngapi 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Akili za usiku hizo


Em fanya zile kazi za watu, au ushamaliza?
 
Katarudi keusiiii,, kamepaukaaa

Bora asiende😂😂
Sis
Alirudigi na picha..
akanipa nimtafute, simuoniii
Sura pauuu..
Wote wamefanana 🤣

Bro yeye alikulaga doso takatifu mpaka akatoroka, wee wasimdake stand 😂😂 anakwambia nilikomaaa.

Ukisikiliza story zao ni raha tu 😂😂 ambiwa nenda sasa!!
 
Back
Top Bottom