Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Unichukulie na yanguAsantee nakuja na chai![]()
Unichukulie na yanguAsantee nakuja na chai![]()
basi nichukulie maziwa ya unga ya kulamba 😅😅Bila sukari ndio nzuri 😃
Nipo mitaa ya karibu, fanya tuchekiane kitu kilitwaliwa bwanaa weweeUnichukulie na yangu
Before you know it atakuwa mdada vijamaa vinyoa viduku utaanza kuviona vinajipitisha pitisha hapo na suruali za kubana. Enjoy while it lasts....Wako poa saaana seeing the kid growing it's amaizing feeling

Kama ni kavulana kaende...Katoto ketu kamesikia hilo swala jaman kaliaalafu mzee wake anamwambia hata ulie vipi utaenda


JamaniUsisahu na milo![]()
ni utamu kwa kwenda mbeleKama ni mvulana aende. Kuna vitu atajifunza huko vitamsaidia sana katika maisha yake. Labda kama ni mtoto wa kishua.Katoto ketu kamegoma.. kanasema Kigoma jamani mbali, mnionee huruma
Baba kakubali
Mama hataki..
Ila tunawakosea kuwalazimisha basi tu..
sema hizidi ile ingine kwa utamu 😝😝😝Jamanini utamu kwa kwenda mbele
Yeye kapangiwa huko Lushoto _Tanga analia hatari 😀😅Katoto ketu kamegoma.. kanasema Kigoma jamani mbali, mnionee huruma 😂
Baba kakubali
Mama hataki..
Ila tunawakosea kuwalazimisha basi tu..
Mwacheni tu, nina ndugu watatu walipangiwa ila hawakwenda na haikuwa na shida kwao.Hivi kwenda jeshi after six kuna umuhimu gani?
Na ukipotezea kuna hasara gani?
Haka katoto ketu hapa kamegoma kabisa aisee..
Ni wakike Baba yake hawezi mruhusu aende ana mzingua tuu aone atakavyo reactKama ni kavulana kaende...
Kama ni kasichana kasiende....![]()
Ūnene nalīngika.Izunaye
Mhola nhoi
Genhehe inding'ha li golo
Leghabela
Aghakindwa nhani
Ya Baghika na Baghalu



Wee hizo za kwenda jeshi zimeshatoka kumbe kuna Mtoto wa sister angu anashangaa tu hata haelewi chochote!!Yeye kapangiwa huko Lushoto _Tanga analia hatari 😀😅
Nilikuwa mbali na simu nimekuta missed call 7 kananitafuta eti niongee na Baba yake ili asiende
Ni wa kike..Kama ni mvulana aende. Kuna vitu atajifunza huko vitamsaidia sana katika maisha yake. Labda kama ni mtoto wa kishua.
Kama ni msichana asiende hata kwa bunduki. Hata wakati ilipokuwa lazima nilikataa kabisa kabisa mtoto wa kike kwenda huko...na vyeti tulivinunua tu. Na University wakaenda kama kawaida.
💃💃💃💃Kame this way my Lenie ... 😍😍
Muda wetu
Muda wetu wa kukimbia mbele
Aiyo woiyooo, aiyooo woyoo
Wiyoo woiyoo, aiyo woiyooo, woiyooo wee
Muda wetu
Muda wetu wa kukimbia mbele
Aiyo woiyooo, aiyoo woyooo
Aiyoo woiyooo, aiyoo woiyooo
😁😁😁😁
Leo nawai ukutani mie😍😍😍💃💃💃💃
Bora tu tukale zetu🍔🍟🍤😋😋😋