Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Msg zilikua zimejaa makasiriko, pole yake🤣🤣
E4500BEF-00F3-4CFC-B5EE-905CE9AD2C2C.jpeg
 
Watu wana stress za maisha shoga, we chezea kufichwa fichwa ka bangi🤣🤣🤣🤣🤣

Kula si ndio tunaitafuta huku mtandaoni, tusipopost tutapata vipi wateja jameni😁

Uwiii _King nisamehe hii ya mwisho🤭🤭🤭
😂😂😂😂😂 nimecheka hadi nimehisi mbavu imefanya ‘ kweeeee

Ila kanataka kutupa tu dhambi!!
Mxiieeewwwww


My friend L… bye!
Nimeambiwa nitoke hapa!!
 
😂😂😂😂😂 nimecheka hadi nimehisi mbavu imefanya ‘ kweeeee

Ila kanataka kutupa tu dhambi!!
Mxiieeewwwww


My friend L… bye!
Nimeambiwa nitoke hapa!!
Umeshindwa kabisaa umekubali kushindwaa 😅😅😅😅
 
Umbeya ume7bisha nisimalize kazi 😂😂

Akishindwa atupe CV tumsaidiee, kambuzi kale.. na ilo ndiyo kubwa linalomuumiza anabaki kuhaha pasi na sababu.
Kakija sasa jukwaani!! Ni nyoroo nyingi
Hasiraaa 7bu kalimalizwa uchochoroni 😏😏


Kalikuta file la ubongo wa nyuma limetulia 😅😂😂
Ila hivi venye leo nimetibukwa!! Pm pasingetosha, tungejikuta tumemwagikia kwenye jukwaaa 🤣😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uchochoroni kunauma shoga af wenzako wababebishwa kwenye hadhara, lazima upate msongo wa mawazo.
 
Akasake chaka la kufiaa kwa hizo stress za kujitakia 🤣😂


_King
Chukua mtu wako huyu Lenie
Mbebishaneeeee
Mchitchatkeeee
Wa kuumwa, akaumwe salama 😂😂
Kame this way my Lenie ... 😍😍

Muda wetu
Muda wetu wa kukimbia mbele
Aiyo woiyooo, aiyooo woyoo
Wiyoo woiyoo, aiyo woiyooo, woiyooo wee
Muda wetu
Muda wetu wa kukimbia mbele
Aiyo woiyooo, aiyoo woyooo
Aiyoo woiyooo, aiyoo woiyooo
😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom