Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Adi aje kuona hii comment ni kesho😂😂😂😂😂 ndio kamekuja.. na hapo ni zoteee alipokuwa kaishia
Adi aje kuona hii comment ni kesho😂😂😂😂😂 ndio kamekuja.. na hapo ni zoteee alipokuwa kaishia
Aende akajute kuzaliwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kwenda jeshi after six kuna umuhimu gani?
Na ukipotezea kuna hasara gani?
Haka katoto ketu hapa kamegoma kabisa aisee..
Tutapigwa bomu tusambaratike tubaku jivu 🤣🤣Ushajiuliza hili shogaa?View attachment 2246268
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikisikia jeshi kwa mujibu, napatwa hasira mnoo, 200k angu ilipotea hivi hivi.cocastic aje atupe habari za huko ndichi…
Huyu wa kwetu najua amekataa sababu ya nywele zake, kanaogopa kukata
[emoji23][emoji23][emoji23]dogo ale kwanza msosi wa home aisee,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijapenda walivyowafanyia watoto wetu
😂😂😂 tumekaacha[emoji2960] jaman kaacheni kasiende kuteseka huko
Nani alikushawishi uende huko??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikisikia jeshi kwa mujibu, napatwa hasira mnoo, 200k angu ilipotea hivi hivi.
Kwanza hamna maana kutesana tyuuh.
Atakaepangwa Kanembwa - kigoma ameumia, kule ni vitani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee kigoma ipo,nimetizama
Dogo kapangiwa Rwamkoma__mara........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeeeeh haipo siriazi,Mbinga to Musoma,halafu ni tarehe tatu atimbe[emoji23][emoji23][emoji23]...no no no
Zamani walikuwa hawadoji sanaMe kipindi kile ingekuwepo aki nisingeenda, ningesingizia tu vyovyote nisiende
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji1545]View attachment 2246280kwaleo inatosha.... mlale unono wapendwa [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]!!
Nae ana dimpozzzzz.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hako hapo View attachment 2246257
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahView attachment 2246258
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]!!
kwa mbaaalliiii namuona big[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Analo 😂😂 tena naona ye ndio anayo mazuri sana..Nae ana dimpozzzzz.
Asiende atajuta.
For sure wacha niinjoy hii time wale madogo wa viduku wakianza harakati zao za pimbi wakute dogo nimemraise Yuko na confidence na focus..thanks for the advice [emoji120]Before you know it atakuwa mdada vijamaa vinyoa viduku utaanza kuviona vinajipitisha pitisha hapo na suruali za kubana. Enjoy while it lasts....
Weka misingi sahihi. Onyesha upendo kama wote na kapendee sana mamake. Mengine yote mwachie Mungu [emoji1545]
Mwenzie nilitoa hela nitoroshwe, kilichofuata, wale mbwa ***** zao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sis
Alirudigi na picha..
akanipa nimtafute, simuoniii
Sura pauuu..
Wote wamefanana [emoji1787]
Bro yeye alikulaga doso takatifu mpaka akatoroka, wee wasimdake stand [emoji23][emoji23] anakwambia nilikomaaa.
Ukisikiliza story zao ni raha tu [emoji23][emoji23] ambiwa nenda sasa!!
Haendi mtu hapa[emoji23]Atakaepangwa Kanembwa - kigoma ameumia, kule ni vitani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki kupitwa na umbeaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upoje unafukua makaburi usiku huu [emoji23][emoji23]
Kha hiyo balaa aisee [emoji23]Atakaepangwa Kanembwa - kigoma ameumia, kule ni vitani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee na ma broohzz wacha wakomalie niende kwq mujibu, niliteseka mnoooo.Nani alikushawishi uende huko??
Kambi ipi? Bulombora au kanembwa?Analo [emoji23][emoji23] tena naona ye ndio anayo mazuri sana..
Kapangiwa Kigoma