Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂 unaamkaa
Kitanda hutandiki…
Huogi…
Mbio kutumia watu PMs zisizo na kichwa wala miguu.

Sijui kula yako unaitafuta saa ngapi 😂😂😂😂😂
Watu wana stress za maisha shoga, we chezea kufichwa fichwa ka bangi🤣🤣🤣🤣🤣

Kula si ndio tunaitafuta huku mtandaoni, tusipopost tutapata vipi wateja jameni😁

Uwiii _King nisamehe hii ya mwisho🤭🤭🤭
 
Watu wana stress za maisha shoga, we chezea kufichwa fichwa ka bangi🤣🤣🤣🤣🤣

Kula si ndio tunaitafuta huku mtandaoni, tusipopost tutapata vipi wateja jameni😁

Uwiii _King nisamehe hii ya mwisho🤭🤭🤭
Nita 🤜🤜🤜 ya mgongo hadi ulie nianze kukumbeleza
 
Mie semina yanini sitaki mie 🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!
Enzi shuleni tuna uhaba wa viti
1DC3D352-EF07-4448-977F-7AA19C205DBA.jpeg
 
Umalizie wapi wakati uko busy na ubuyu wa huku😂😂😂

Kale kaPm tatizo akili hana😂😂
Cha kumsaidia ni atafute tu kazi ya kumkeep busy ndio aache kutumika na kutegemea mwili ili atimize mahitaji yake.

Ila ulikajibu kisomi, big up kwa hilo babe👌😘
Umbeya ume7bisha nisimalize kazi 😂😂

Akishindwa atupe CV tumsaidiee, kambuzi kale.. na ilo ndiyo kubwa linalomuumiza anabaki kuhaha pasi na sababu.
Kakija sasa jukwaani!! Ni nyoroo nyingi
Hasiraaa 7bu kalimalizwa uchochoroni 😏😏


Kalikuta file la ubongo wa nyuma limetulia 😅😂😂
Ila hivi venye leo nimetibukwa!! Pm pasingetosha, tungejikuta tumemwagikia kwenye jukwaaa 🤣😂
 
Taratibu kijana

Mjini kuna vya watu

Uambie moyo wako

Na uelewe
Wageni....

Wanakuta yatch ya $ mamilioni...

Kama zile za ma oligarchy wa Putin...

Imepaki tu inaelea bandarini...

Inang'ara na kupendeza sana...

Bila kujiuliza wanaparamia tu...

Wanasahau kwamba ukikiona chaelea.....

Akili mtu wangu akiliii....
 
Umbeya ume7bisha nisimalize kazi 😂😂

Akishindwa atupe CV tumsaidiee, kambuzi kale.. na ilo ndiyo kubwa linalomuumiza anabaki kuhaha pasi na sababu.
Kakija sasa jukwaani!! Ni nyoroo nyingi
Hasiraaa 7bu kalimalizwa uchochoroni 😏😏


Kalikuta file la ubongo wa nyuma limetulia 😅😂😂
Ila hivi venye leo nimetibukwa!! Pm pasingetosha, tungejikuta tumemwagikia kwenye jukwaaa 🤣😂
Njoo nikutulize kichwaa for freee 😁😁😁😁
 
Sitaki nikufiche na sina unafiki mwayaaa, wee unatafutiwa bifu, yaan wanakuchokonoa ili ujilipue hao wahusika wapate nafas ya kubattle nawee,

Maana kila mbinu inatumika kukuchokoza, wamekukuta hujari wala nn, ko inatafutwa kila angle hadi ujichomeke wakupate, hii selfika wee ukituma picha, lazima baadhi ya watu wahusishe na mtu mwigne, WHY?

Kwann hao wahusika wasije wenyewe hapa? Au wanatafuta kuonesha wee ndo dhaifu? Nakusihii kitu kidogo kitapoteza merits zako hapa jukwaani. Yaan unaona sometimes mada hazihusiki au za jukwaa lingine linaletwa hapa, KWANINI?

Tafakari na uchukue hatua, kuwa makiniii. Mie nimemalizaaaaaaaah
 
Back
Top Bottom