Sehemu Ambazo ni hatari kuishi ni pamoja na vijijini watu wamejawa na roho zisizo na huruma kifo cha Enock ni weak up call.

Jambo Ambalo nimekuwa nikiwaambia watu Kama una uwezo usiishi kijijini wala uswahilini hizo sehemu zina watu ambao roho zao zimeshachafukwa.

Ona Kijana Enock anauliwa Kama Nguruwe so sad.
Inategemea na Kijiji mkuu,nskupinga kwa nguvu zote,nimekulia vijijini na maisha yamesonga hata kuku watu wanaogopa kuchinja,Haya mambo ni mtu na roho yake tuu !Hayahusiani na unapoishi!
 
ile moa yote iliyoshuhudia tukio hilo ni ya kukamatwa yote wakahenyeshwe ili iwe fundisho kwa wote wanaoshuhudia matukio ya kikatili bila kuchukua hatua za kuzuia ushenzi huo
 
Inategemea na Kijiji mkuu,nskupinga kwa nguvu zote,nimekulia vijijini na maisha yamesonga hata kuku watu wanaogopa kuchinja,Haya mambo ni mtu na roho yake tuu !Hayahusiani na unapoishi!
Ni kweli, ila huko Geita na kanda ya ziwa kwa ujumla kuna unyama mwingi sana, kuuana kwa vitu vidogo ni kawaida kabisa kule.
 
Jambo Ambalo nimekuwa nikiwaambia watu Kama una uwezo usiishi kijijini wala uswahilini hizo sehemu zina watu ambao roho zao zimeshachafukwa.

Ona Kijana Enock anauliwa Kama Nguruwe so sad.
Mzee kibao si alitekwa katikati ya Jiji lenu hapo Daslamu?

Tz na Dunia Kwa ujumla sio sehem salama sana
 
Duuh hao walipaswa waishi Soweto, Afrika ya kusini,Kuna mada humu mdau anapendekeza iwe Kanda maalumu ya kipolisi.!
haahaaaha ndio kwetu lakini nakuogopa sijawahi kwenda huko kwa miaka kibao na nikifika bongo uwa naishia Dar tu au Arusha. Unyama mwingi kule plus uchawi sasa noma sana. Kanda maalum kutapafaa kule.
 
Jambo Ambalo nimekuwa nikiwaambia watu Kama una uwezo usiishi kijijini wala uswahilini hizo sehemu zina watu ambao roho zao zimeshachafukwa.

Ona Kijana Enock anauliwa Kama Nguruwe so sad.
Hata nguruwe huuliwa vibaya lakini si kwa kipigo cha kiasi na namna ile.

Wale wapumbavu wakikamatwa wanatakiwa nao wauliwe tu hata huko polisisiem wasifikishwe
 
Back
Top Bottom