Sebo: Ningekuwa ruge, ningemwomba radhi jaydee

Sebo: Ningekuwa ruge, ningemwomba radhi jaydee

NYANI NGABU kitaalamu kauli yako inatafrika kama mtu ambaye hana jinsi!! ni sawa ukia unamuomba unyumba mama watoto then anakujibu kwa sauti ya juu!! inamaanisha anatumia siraha ya maneno!! Jay dee amewashika!! ogopa mtu anaetegemea hadhira!!

JD kamshika nani wewe? Kazi kulialia tu....kuimba kumemshinda?
 
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.
Kifupi, yako binafsi umeyaweka mbele kuliko uwezo wa akili yako. Mkuu kwa comment yako, sina budi kukuambia shame on u. Na umechemsha mbayaa!!
 
Kifupi, yako binafsi umeyaweka mbele kuliko uwezo wa akili yako. Mkuu kwa comment yako, sina budi kukuambia shame on u. Na umechemsha mbayaa!!

Nimechemsha nini? Mahindi au maziwa ya mbuzi?
 
Hivi huyu Ruge anawakera kweli au mnalipenda jina lake tu?

Asiyempenda Ruge aje kwangu nimkabidhi fundi wangu Mpemba na ndani ya siku tatu Ruge atabakia kuwa Historia tu.
 
Hivi huyu Ruge anawakera kweli au mnalipenda jina lake tu?

Asiyempenda Ruge aje kwangu nimkabidhi fundi wangu Mpemba na ndani ya siku tatu Ruge atabakia kuwa Historia tu.

Mimi navyohisi wengi wa hawa watu ni wafuata mkumbo tu. Hawaichukii Clouds wala Ruge wala Joey.

In fact, nadhani ndiyo wasikilizaji nambari wani wa radio Clouds maana wanajua sana kila linaloendelea na hiyo radio pamoja.

Fikiria tu mwenyewe, kuna radio stesheni ngapi Tanzania na mara karibu zote watu (wa humu JF) ni wanajua kinachoendelea kuhusu Clouds....wanajua Kibonde leo kasema nini kwenye Jahazi...wanajua Mchomvu karopoka kitu gani....wanajua Babra kasema nini asubuhi.....wanajua Diva kafanya ujinga gani usiku.

Kama hawaifuatilii na kuisikiliza Clouds wanajuaje hayo yote? Mimi naamini wanaikubali Clouds japo kisirisiri.
 
Nimetune Clouds Fm namsikiliza Mbwiga wa mbwiguke kwenye Sports extra muda huu, binafsi mimi hiki ndicho kipindi ambacho ndio huwa ikitokea nipo home ndio nasikiliza.

Nilichogunduwa humu kuanzia wasanii hadi mashabiki wao wana mahaba mazito na Redio clouds. sijawahi kusikia thread humu za jinsi Mamu store inavyowanyonya pesa katika kazi zao za sanaa, wadosi ndio wanyonyaji namba moja lakini sisikii sauti zikipazwa.
 
Ruge amegeuzwa scapegoat lakini in the long run washabiki wapenda beef wa jide watatoweka atabaki na wale die hard fans wake..her future is bleak kwenye hii issue..halafu sio mbaya mkampa Mr Ruge sifa yake ya ku transform entertainment ya bongo kwa mfano jinsi hata stages za fiesta zilivyo na leo ndo imegeuka benchmark ya competitors wengine...wakati mnazungumzia mapungufu yake msisahau kwamba anayo mazuri pia
 
Kwa kweli

Mie naona chakula chao kizuri, au sababu nina limited alternatives?

Mnatoka na minyoo yenu makwenu mnaenda kusingizia food poisoning za kijiwe chetu! Have you tried their pancakes and mishkaki? The best ever!
 
sebo is a human being n great presenter, mambo ya uhamiaji hayahusiki this is a free country n he has not said anything offensive, ts freedom of speech n i guess hes very right. in the end hata clouds fm they are supposed kuondoa tofauti zao na wasanii cos it divides the fans n in the end they might end up loosers as well, just saying.
 
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.

Mgahawa wako uko maeneo gani tuje tukupe support???
 
Back
Top Bottom