Sebo: Ningekuwa ruge, ningemwomba radhi jaydee

Sebo: Ningekuwa ruge, ningemwomba radhi jaydee

anaropoka ropoka hajui kabisa
watu anao deal nao
zamani alipokuwa under ipp alikuwa safe
now yupo Kampuni ambayo sio powerful that much
bora asingejihusha na haya

utaendelea kuwa mtumwa wa fikra mpaka lini? yaani mtu asiongee ukweli eti kisa kuna watu wanaweza kumdhuru? mpambanaji huwa hana sifa hizo. hizo sifa kwa uchache sana huwa ni za wanawake na sio za wanaume.
Jamii inaona nani mkosa ktk hili hata kama anajiona anamabavu kivipi madhali jamii haipo nyuma yake ataumbuka tu. kama lingekuwa ni suala la power leo hii mubaraka angekuwa bado ni rais.
 
huna jipyaa! Cjui we KE au ME! Utajijuuu! ''Team anakonda''

Kwani hyo restaurant kakujengea wewe?? Wewe mshamba wa wapi??,acha kwenda jide bado ana make mkwanja wa maana,hata ubinuke vp huwez fikia level zake
 
Issue ya akina Ndanda Kosovo ni tofauti na issue ya Ssebo.
Akina Nadanda walikuja nchini kwa ufadhili wa FM na baadae waliposhindwana na wakati huo wakashindwa kumudu kupata vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini ndipo wakakutana na sokomoko lililowakuta.
Sasa kumfananisha Ssebo na hao wakongomani sio sahihi hata kidogo. Ssebo ni mtu msomi na taaluma yake na ameishi nchini miaka mingi kwa kujua na kuzingatia taratibu zinazomfanya aishi nchini.
Na kauli yake ya kudhani Ruge angepaswa kumuomba radhi Jidee haiwezi kuwa kitishio kwake hata kama Ruge ana ushawishi mkubwa kiasi gani hapa nchini.

Sebo ahakikishe vibali vyote vya kuishi nchini viko safi
unless otherwise .............

anaropoka ropoka hajui kabisa
watu anao deal nao
zamani alipokuwa under ipp alikuwa safe
now yupo Kampuni ambayo sio powerful that much
bora asingejihusha na haya

Actually kama umeielewa sijamponda
i simply said awe makini..thats all
sijasema kuwa hayupo vizuri kitaaluma

Wala ishu sio Ruge wala JK
muulize Ndanda Kosovo
ukiingia angaza watu tu
na hauko sawa hata mtu mdogo tu anakutetemesha
 
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.

mmmmh! Nyani Ngabu mambo vipi?
 
Last edited by a moderator:
mwenzangu.....
hapa ni kushika jembe na kwenda kulima....
hawakawii kupatana hawa....... nyuso za mashabiki sijui zitakaa wapi!

upo sawa kabisa ngoja tukachome majani tutayarishe mashamba
 
Achana na NN huyo, yeye akiamua anaponda akijisikia. Mtu mwenyewe anakulaga rose garden tu, makange ugali!
Kwa kweli

Mie naona chakula chao kizuri, au sababu nina limited alternatives?

Wanakula chipsi kuku afu wanavuta bhange. Bhange yake ugali atii
Mwiko wa Bhange: Usivutie chooni, afu huna uhakika wa menyu ya maana:nod::nod:
 
mmmh! haya maugomvi ya media na wasanii, wasanii na wasanii sijui yana kitu gai nyuma yake.
anyways mwenye nguvu mpishe.
 
Whaaaat?!? we sio mbebs wa ukweee supa mkareeez majuu tushakubali yaishe?

hehehee Ngabu mimi ni 'msupaa'
halafu kuna tangazo moja la intanet kwa citizen tv (sema halifanywi wakati wa habari za Lulu na Kanze:flypig🙂 kuna lijamaa linakula tizi mara linaachia mashuzi .... bado nacheka comment yako ya kujamba kama ng'ombe mjamzito)
 
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.

mmmh! NN leo vipi wangu??
leo naona umevuta cha arusha manake sio kawaida yako.
 
Usimuambie kabla atalala na viatu huyu. Anapenda vayapati na kupika hajui
(zone udaku: naskia sebo ni kuwadi wa kimataifa? Namkasirikiaga tu bila hata sababu kwa kweli.)

yaani unahongwa afu na wewe uhonge!

Kuwadi ? mmh naogopa kukuuliza🙂

Halafu King'asti kweli mimi ni wa kuhongwa chapati? mbona tunaleteana zereu aisee:embarassed2:
 
Mihoteli na migahawa karibu yote ya huko ulimwengu wa tatu usafi ni bush league. Hivyo sishangai nyie kuachia mishuzi hovyo hovyo kama ng'ombe mjamzito.

bestie vipi leo wanivunja mbavu??
actually kwa study ilofanywa na mwanafunzi wa Msc UDSM ilionyesha kwamba wengi wanaokaula kwenye mahoteli makubwa na migahawa mikubwa hapa dar wako susceptible to food poisoning kwasababu ya food storage. yaani unakuta samaki anavuliwa ziwani mwanza anavuliwa sio kwa kufuata hygiene procedure anakuwa packed hivyo hivyo, akifika kwa sokoni mazingira ya kumweka ni poor, mnunuzi akinunua anaweka kwenye jokofu liko na vyakula mchanganyiko tena ambavyo usafi wake uko chini sasa kwenye jokofa anawekwa miezi hadi 4 kulingana na aina ya mgahawa na idadi ya watu wanaohudumia. huko kwenye jokofu bacteria wanakuwa inactive, ukija kuwapika wale ambao ni thermotolerant hata ukiwapika hawafi sasa wategemea nini hapa??
 
utaendelea kuwa mtumwa wa fikra mpaka lini? yaani mtu asiongee ukweli eti kisa kuna watu wanaweza kumdhuru? mpambanaji huwa hana sifa hizo. hizo sifa kwa uchache sana huwa ni za wanawake na sio za wanaume.
Jamii inaona nani mkosa ktk hili hata kama anajiona anamabavu kivipi madhali jamii haipo nyuma yake ataumbuka tu. kama lingekuwa ni suala la power leo hii mubaraka angekuwa bado ni rais.

Wewe usiongee kitoto toto hapa
unafikiri kila mtu ni mpambanaji?
alie kwambia Sebo ni mpambanaji nani?
 
Issue ya akina Ndanda Kosovo ni tofauti na issue ya Ssebo.
Akina Nadanda walikuja nchini kwa ufadhili wa FM na baadae waliposhindwana na wakati huo wakashindwa kumudu kupata vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini ndipo wakakutana na sokomoko lililowakuta.
Sasa kumfananisha Ssebo na hao wakongomani sio sahihi hata kidogo. Ssebo ni mtu msomi na taaluma yake na ameishi nchini miaka mingi kwa kujua na kuzingatia taratibu zinazomfanya aishi nchini.
Na kauli yake ya kudhani Ruge angepaswa kumuomba radhi Jidee haiwezi kuwa kitishio kwake hata kama Ruge ana ushawishi mkubwa kiasi gani hapa nchini.

Could be very true
it was just an opinion
haina maana kuna kitu cooking against him
 
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.

Una wazimu wewe....
 
Wewe usiongee kitoto toto hapa
unafikiri kila mtu ni mpambanaji?
alie kwambia Sebo ni mpambanaji nani?

Mpambanaji ni mtu yeyote anayeweza kujitoa kwa kuongea au kutenda kwa lengo la kutetea haki fulani. Kama utakubaliana na mimi ktk hayo maelezo niambie kwanini Sebo nisimuite mpambanaji kwa kujitosa kusema ukweli kwa watu ambao wewe binafsi unawaogopa na unahisi wanaweza kukudhuru kwa wewe kusema ukweli. yeye kathubutu kufanya kitu usichoweza.
 
wewe waonesha uelewa wako ni mdogo mno

Sebo kasema Ruge aombe radhi wasuluhishe
sasa hapo ukweli ni upi?
angesema Jaydee azidi kupambana we ungesemaje?
kwani Sebo kasema ni kweli Jaydee anaonewa?

Halafu mimi naingiaje?
You think naweza waogopa Clouds?
umesoma post zangu zote kuhusu clouds?au unabwabwaja tu hapa?

Au unafikiri ni lazima kila mtu ajiingize kwenye maugomvi yasiyomhusu?
 
Back
Top Bottom