Sebo: Ningekuwa ruge, ningemwomba radhi jaydee

Just drop it buddy. Aint important. Mie nimewaacha na vita vyao. Naskiliza clouds, na nyumbani lounge naenda kila nikijisikia na nikiwa na nafasi.

Keep being a good boy, will ya?
Ok, my English is not that good so please enlighten me what exactly you mean by me "parading bout their disagreements"?
 
Ruge aache kiburi aombe msamaha tu. La sivyo anaweza kuja kuiponza Clouds huko mbele. Kuna underground movement ya wasanii kuja kutengeneza umoja wao ambao utawapa tabu hao clouds wakaja kula hasara na fiesta zao. We subiri uje uone

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa hiyo ina maana akionekana kumuunga mkono huyo binti, yeye huyo Sebo atakuwa deported na akina Ruge?

Kwa hiyo ina maana akina Ruge (Clouds, Joey, Kibonde and them) wana ushawishi mpaka kwenye wizara ya mambo ya ndani na idara ya uhamiaji?

Mtu yeyote ambae anaishi illegal mfano
hata wewe waweza kuwa na ushawishi
its so simple kama hauko clean yeyote anaweza kuku angusha
now kuhusu kina Sebo na kina Ruge sija sema hivyo..
i simply suggest kuwa ukijiingiza beef za watu,hata mtu mwingine ambae sie sio lazima
awe na uhusiano na Ruge au Jydee anaweza ku deal na wewe..hasa kama kuna kitu cha kukukamatia..its that simple....
 
Just drop it buddy. Aint important. Mie nimewaacha na vita vyao. Naskiliza clouds, na nyumbani lounge naenda kila nikijisikia na nikiwa na nafasi.

Keep being a good boy, will ya?

mnhhhhhhhhhhhh
 
Mihoteli na migahawa karibu yote ya huko ulimwengu wa tatu usafi ni bush league. Hivyo sishangai nyie kuachia mishuzi hovyo hovyo kama ng'ombe mjamzito.

Hahahahahaha mkuu umenivunja mbavu hapa nacheka mpaka basi, kumbe sasa umeona si kosa la Jaydee wala wafanyakazi wa Mgahawa wake bali ndio system ya ulimwengu wa tatu
 
Mtu yeyote ambae anaishi illegal mfano
hata wewe waweza kuwa na ushawishi
its so simple kama hauko clean yeyote anaweza kuku angusha
now kuhusu kina Sebo na kina Ruge sija sema hivyo..
i simply suggest kuwa ukijiingiza beef za watu,hata mtu mwingine ambae sie sio lazima
awe na uhusiano na Ruge au Jydee anaweza ku deal na wewe..hasa kama kuna kitu cha kukukamatia..its that simple....

Bosi siyo Sebo bana... Hayuko hapa kimagumashi wala nini.
 
Just drop it buddy. Aint important. Mie nimewaacha na vita vyao. Naskiliza clouds, na nyumbani lounge naenda kila nikijisikia na nikiwa na nafasi.

Keep being a good boy, will ya?

All I asked for was a simple elucidation of what you meant. Was that too much to ask for?

Anyhow, no biggie.
 
Bosi siyo Sebo bana... Hayuko hapa kimagumashi wala nini.

Yes sikusema anaishi kimagumashi
but just a thought
je vibali vyake vyote viko clean?
unaweza kuishi kihalali but usiwe na kibali cha kazi unayofanya
au anything like that..
but all in all sisemi kwamba yuko illegal au he is a bad person..
just .....
 
Mtu yeyote ambae anaishi illegal mfano
hata wewe waweza kuwa na ushawishi
its so simple kama hauko clean yeyote anaweza kuku angusha
now kuhusu kina Sebo na kina Ruge sija sema hivyo..
i simply suggest kuwa ukijiingiza beef za watu,hata mtu mwingine ambae sie sio lazima
awe na uhusiano na Ruge au Jydee anaweza ku deal na wewe..hasa kama kuna kitu cha kukukamatia..its that simple....

Manake nguvu wanazopewa hao akina Ruge ni za ajabu mno. Hivyo nilidhani labda na huyo Sebo wanaweza wakam-deport arudi alipotoka.
 
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.

wewe kimgahawa chako kiko wapi ili tuje kununua chakula safi.....au UNAROPOKA ROPOKA TU KAMA FYATU###
via#samahani lakini
 
Hahahahahaha mkuu umenivunja mbavu hapa nacheka mpaka basi, kumbe sasa umeona si kosa la Jaydee wala wafanyakazi wa Mgahawa wake bali ndio system ya ulimwengu wa tatu

Lakini uchafu ni tabia. Sasa dizaini hako kabinti ni kachafu kachafu na hiyo hulka ina spill over kwenye hako kamgahawa kake. Nasty!
 
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.

Mkuu mbona unamawazo mgando hivyo lakini nayaheshimu mawazo yako coz tupo tofauti kifikra
 
Ningekuwa nauwezo ningemleta Chameleone kupamba miaka 13 ya Jide
 
anaropoka ropoka hajui kabisa
watu anao deal nao
zamani alipokuwa under ipp alikuwa safe
now yupo kampuni ambayo sio powerful that much
bora asingejihusha na haya
acha uoga wewe, unadhani ni big deal sana kuishi tanzania?
 
Back
Top Bottom