warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,471
utaendelea kuwa mtumwa wa fikra mpaka lini? yaani mtu asiongee ukweli eti kisa kuna watu wanaweza kumdhuru? mpambanaji huwa hana sifa hizo. hizo sifa kwa uchache sana huwa ni za wanawake na sio za wanaume.
Jamii inaona nani mkosa ktk hili hata kama anajiona anamabavu kivipi madhali jamii haipo nyuma yake ataumbuka tu. kama lingekuwa ni suala la power leo hii mubaraka angekuwa bado ni rais.
Ukiendelea na hiyo tabia yako ya kutukuza na kuogopa wanaume wenzio,utafanywa vibaya...