Sebo: Ningekuwa ruge, ningemwomba radhi jaydee

Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.

Food posoning unajua maana yake wewe au unatamka tu ili uonekane unachangia jukwaani,food posoning hata Serena ipo kwa sana, juzi tulikuwa na mkutano Hotel ya Sea cliff wana restaurant yao maarufu inaitwa Karambezi washiriki wote 17 wa mkutano tuliokula pale wote tulikuwa tunajamba balaa
 
Mihoteli na migahawa karibu yote ya huko ulimwengu wa tatu usafi ni bush league. Hivyo sishangai nyie kuachia mishuzi hovyo hovyo kama ng'ombe mjamzito.
 
Mnatoka na minyoo yenu makwenu mnaenda kusingizia food poisoning za kijiwe chetu! Have you tried their pancakes and mishkaki? The best ever!
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.
 
Hahahahahahaha
hivi food poisoning inasababisha kunanihii eeh?
Food posoning unajua maana yake wewe au unatamka tu ili uonekane unachangia jukwaani,food posoning hata Serena ipo kwa sana, juzi tulikuwa na mkutano Hotel ya Sea cliff wana restaurant yao maarufu inaitwa Karambezi washiriki wote 17 wa mkutano tuliokula pale wote tulikuwa tunajamba balaa
 
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.

huna jipyaa! Cjui we KE au ME! Utajijuuu! ''Team anakonda''
 
Hahahaha. But you got ample time to go parading bout their disagreements? Ya so funny hehehe

Ok, my English is not that good so please enlighten me what exactly you mean by me "parading bout their disagreements"?
 
Alikuwa mganda tv and radio presenter
zamani alikuwa eatv alikuwa ndo meneja wa tv
now nasikia ni manager wa magic fm

Kwa hiyo ina maana akionekana kumuunga mkono huyo binti, yeye huyo Sebo atakuwa deported na akina Ruge?

Kwa hiyo ina maana akina Ruge (Clouds, Joey, Kibonde and them) wana ushawishi mpaka kwenye wizara ya mambo ya ndani na idara ya uhamiaji?
 
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.

duh sometimes unaongeaga hivi kumbe mkuu, I didn't expect to hear this from u!!!
 
You act like you know me more than I know myself. What exactly did you expect to read or hear from me?

Because as far as I know I always tell it like it is. Pulling punches is not in my DNA.
 
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.

Sidhani kama kubeba boksi huwa akili nayo inaharibika, ungekuwa na respect na mdomo wako unapoongelea watu wakubwa, sio kila choo uingie tu mkuu vingine ni special kwa gender husika
 
Back
Top Bottom