Sebo: Ningekuwa ruge, ningemwomba radhi jaydee

Sebo: Ningekuwa ruge, ningemwomba radhi jaydee

Yes sikusema anaishi kimagumashi
but just a thought
je vibali vyake vyote viko clean?
unaweza kuishi kihalali but usiwe na kibali cha kazi unayofanya
au anything like that..
but all in all sisemi kwamba yuko illegal au he is a bad person..
just .....
Unaruka kimanga...lol
Nway Sebo si kwa kuegemea kwa nyabo wa kibongo, amekuwako kihalali tangu anasoma. No magumashiz
 
Unaruka kimanga...lol
Nway Sebo si kwa kuegemea kwa nyabo wa kibongo, amekuwako kihalali tangu anasoma. No magumashiz

Uliwasi pata chanzo cha kuwekwa ndani Ndanda Kosovo?
hadi wakajiita wajelajela?

Waliletwa na mtu ,Macheni i guess..waimbe
vibali vyote clean...wakapata deal na mtu wa bendi ingine
wakahama...
Macheni akala deal na maofisa wa uhamiaji..
vibali futwa,wakasekwa lupango....lol
hii nchi tunaijua.wenyewe .uhali wa kibali waweza sitishwa pia lol
 
kinachotokea kwenye hii vita ni kwamba hamna ukweli ila kuna ushabiki tu kuwa kama huwapendi clouds basi utamuunga mkono Jide na kama humpendi Jide basi utawaunga mkono Clouds.....
So naona hata hayo maneno ya Sebo yapo kimizania hiyo sababu Clouds ni washindani wao kibiashara....
Kuna watu ambao hatukuwahi kumkabali Jide toka anabebwa na Clouds sababu huo "ukomando" wenyewe alipewa na hao hao jamaa.....

Kudhibitisha ukomandoo wake ni atakapomaliza hii vita.... Ila kama mapambano mengine na hawa jamaa, siku zote wanafanya hii vita kuwa binafsi ndio maana tunasikia mapendekezo ya maridhiano!
Maridhiano ya nini kama ishu ni biashara na faida? Hilo eneo lilimsumbua hata Sugu, ila mwenzie amekuwa na plan B japo imepooza.
 
kinachotokea kwenye hii vita ni kwamba hamna ukweli ila kuna ushabiki tu kuwa kama huwapendi clouds basi utamuunga mkono Jide na kama humpendi Jide basi utawaunga mkono Clouds.....

Hakuna ukweli kwa sababu hata bifu lenyewe halieleweki. At best, Jay Dee's gripes are nebulous.

Afadhali hata Sugu alikuwa na specific allegations kwamba Ruge alim-upstage na kutaka kuchukua credit za ule mradi wa malaria.

Lakini huyu binti hata haeleweki anacholilia ni nini mahsusi. Kadhulumiwa? Kafanyiwa hujuma? Kama kafanyiwa hujuma, je ni hujuma gani hizo alizofanyiwa na kafanyiwa kwa njia gani/zipi?

Mpaka sasa hakuna kati ya wapambe wake walioweza kunipa majibu. Wanachofanya ni lawama tu na ku act kama vile Tanzania nzima kituo cha redio ni Clouds tu.
 
Lakini uchafu ni tabia. Sasa dizaini hako kabinti ni kachafu kachafu na hiyo hulka ina spill over kwenye hako kamgahawa kake. Nasty!
Du sijui alikufanya nini ndugu yangu, msamehe saba mara sabini
 
Hahahaa mimi ntazihamishia kwenye kipande cha gazeti nimpelekee 'supa frendi'
Weee mimi sio mbebs

Whaaaat?!? we sio mbebs wa ukweee supa mkareeez majuu tushakubali yaishe?
 
  • Thanks
Reactions: bht
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.

Ukikua utaacha
 
Usimuambie kabla atalala na viatu huyu. Anapenda vayapati na kupika hajui
(zone udaku: naskia sebo ni kuwadi wa kimataifa? Namkasirikiaga tu bila hata sababu kwa kweli.)
King'asti kasema kesho anakuletea chapati za Jide uonje...

yaani unahongwa afu na wewe uhonge!
Nami ntazifunga kwenye ziploc nikuletee wewe mbebs
 
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.
NYANI NGABU kitaalamu kauli yako inatafrika kama mtu ambaye hana jinsi!! ni sawa ukia unamuomba unyumba mama watoto then anakujibu kwa sauti ya juu!! inamaanisha anatumia siraha ya maneno!! Jay dee amewashika!! ogopa mtu anaetegemea hadhira!!
 
Nakuheshimu that why nakujibu hivi, sebo yupo vizuri sana kitaaluma. Utangazaji kwake not big deal. Kipindi cha nyuma alikuwa Imma Advocate. Bila shaka mpaka sasa.
Kwa hiyo inchi yeyote anao uwezo wa kufanya mambo yake tofauti na our funcking country.

anhaaa ndo maan huwa namskia skia sana kwenye makutano akijadili ishu za kisheria
 
Back
Top Bottom