SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

Dada yangu kaenda kusoma SAUT karudi akiwa SINGO MAZA. Dah, SAUT kmmkkk zenu
Sauti ni hatari kwa mtoto wa kike huu ni ukweli. Kabisaa.
Jirani kaenda kusoma sheria karudi na mtoto wa mwaka. Kawa singo maza at 25. Karudi home wazazi wakamzingua saaana. Law school ikawa kwa mbinde hawamuamini tena. Kama ndugu yako wa kike ni fresh from fm 6 mfikirie mara mbili kuhusu SAUT
 
Niliona cheti cha degree cha SAUT kina misalaba kibao kama cheti cha UKWATA nikajisemea pale hamna kitu
SAUT eti mtu anakozi 10 kwa academic year halafu anapata 4.0 nyooooo kajaribu sehemu nyingine huu upuuzi.
SAUT unakuta mapadre Wana ikata kata kozi moja kuwa 2 ili wafundishe wote.
NB
Kozi nyingi siyo sababu ya kufeli ila wanafunzi wa bongo tunawajua.
Tunasema hivi ili panapovuja pazibwe
 
Binafsi najua chanzo cha Shida pale SAUT ni Chief Financial Officer (Huyo mu Ethiopia uwezo wake ni mdogo kichwani). Amesoma Theology afu anapewa FINANCE/ACCOUNTING. Alipo kuwa DVCAA alifukuza IT mzuri (Mr. Boniphace) kisa ubabe wake tu. Na sijui kwa nn sisi Watanzania tuna ruhusu Wageni kuongeza sector nyeti za taasisi nchini kwetu. Utaalamu wowote hana eti tuseme ni Professional

Pia mapungufu yako karibu kila taasisi hapa nchini, hii ni kutokana na vyuo vingi kutotumia Technology ktk kutenda kazi zake. Siyo vyema kuchafua CHUO chako mitandaoni kisa kosa la IDs. Shida ya Madogo wa sasa mna penda sifa za Kijinga. Huko kufelishwa unako kusema hujawahi soma Government Univ. ili uone Direct Discontinuation zilivyo. Hakuna cha Carry over. Tena hakuna pa kulalamika. SAUT wana wadekeza kama watoto, kuonana na Dean, DVCAA, au VC ni kugusa tu kwa mwanachuo, jaribu Udsm uone sasa!! Kizazi hiki wanachuo ni wavivu sana, hata hawatimizi wajibu wao coursework hawafanyi, class hawaingii, private study hakuna, group discussions hakuna hadi muwe na Assignment tu ndio mta discuss nayo ni Copy and Paste from Google. Hivi kweli kizazi hiki mkiwekewa Turnitin plagiarism checker Research na Assignment zenu mta graduate kweli? Kazi yenu kubwa ni Umalaya tu. Kuzurura mjini kila kona. Pombe. Mademu. Club, na kuvaa vi model hadi wakaka.

TCU isipokaa vizuri in 20 years Taifa litakuwa na Graduate wa hovyo sna. Hawajui English. Reasoning ndogo. Miandiko mibovu. Thinking iko Low. Argument Skills Poor. Ubunifu Zero. Kisa mmedekezwa kufaulishwa tu. Mwl akibana, ili muive, oohhh mitandaoni eti rushwa, nk.
 
We
Hili ni shambulio dhidi ya chuo..ni chuki zako binafsi..kwa uzembe na ujinga wako..unakosaje ID ya chuo kama sio ukosefu wa akili.

Hutaki kusoma unataka ufaulu..bila kusoma ukipata sapu ndio unaanza kulialia humu.

Moja ya uzi wa hovyo kutoka kwa kijana wa hovyo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
ndo famba kweli
Unakatwa na majini
Nko m13 naxubri ID😁
 
Mkuu kuna ujinga mkubwa Sana SAUT yaani lecturer anawapa carry takribani course nzima alafu uongozi upo tu na taarifa wanazo sijui ndo kukaa kimya ili wavune zile 50,000/=
Kwani SAUT hawasimamiwi na kufuata miongozo ya TCU?
 
Acha uongo , Kama wewe ni kilaza lazima incomplete ikuhusu.
SAUT wapo makini sana , ndo maana ukiwa mzembe lazima upate shida.
SAUT Ina vyuo wenza zaidi ya 10 Tanzania bara, hivyo unapotoa ushauri wako usidhani hatujui SAUT ilivyo.
Motto wa chuo ni NO FEE NO SCHOOL, Kama hujajipanga usiende kusoma hapo.
Hakuna chuo popote pale kwamba hujalipa fee wakuruhusu kufanua mtihani.
Wewe mtoa mada kwanini unasoma hapo Kama mazingira ni magumu? Usidanganye watu.
SAUT ni kitovu Cha taaluma, kwani ukimaliza SAUT hutashindwa kufanya kazi mahali popote.
By mhitimu wa SAUT 2013 chini ya vice Chancellor,FR CHARLES KITIMA
 
SAUT hii ninayoijua mm ya mwanza au? Utumbo wote unaouongelea hapa mbona unatuchafulia chuo aise id ya mtihani ulitaka uletewe hadi hostel unapokaa? Mbona wengine tumepata siku ya kwanza tu tena utaratibu ni mzuri mnafuatwa darasani kwenye kipindi cha darasani husika mnaitwa mnatoa id yako na unapewa id ya mtihani, ww uchunguzwe
 
Mdogo wangu wakati yupo Diploma nilikuwa A level. Nikawa nampigia simu naongea na marafiki zake, haikupita miezi wakaanza kubeba mimba mmoja baada ya mwingine. Kuja kupewa habari kumbe mimba kwao ni kawaida sana na huwa wanapewa kama special treatment wakiwa wajawazito yani kuna kahuruma ka mama huwa wanapewa.

Chuo changu ukibeba mimba it is unpleasant na kufeli ni nje nje maana kasi itakushinda. Hata hivyo kuna stigma kwa wanaobeba mimba unless wawe wameolewa. Chuo wasio na mimba kabisa ni ATC kwanza pale girls wachache alafu wagumu
ATC CHUO BORAA
 
Second year kila chuo ndio wahuni. Wakiwa first year waoga, second year wanajiachia, third year na kuendelea wanatulia na wengi mahusiano ya kukurupuka yanavunjika. Third year wengi mwaka wa mwisho wana mambo mengi, mwaka wa nne ni kozi serious, madaktari mwaka wa tano ni malaya sana na wanakuwa wameoana hao maana wamezoeana sana
khaaaah.
 
Nilishasema mimi Tanzania vyuo ni vitatu tu
Ardhi University kama unataka kuwa mbobevu wa ukandarasi wa majengo na usanifu ramani na mambo ya ardhi.

SUA kama unataka kuwa mbobevu wa mambo ya kilimo

MZUMBE kama unataka uwe mbobevu wa maswala ya sheria uongozi na utawala bora

Vingine ni takataka tu
Walau St. Joseph i think
Usisahau Arusha Technical college
Chuo boraa
 
G.P.A ya 2.5 ya SAUT sawa na G.P.A ya 4.5 vyuo vingine wale ni warumi shule kwanza mengine badae ukiwa mjanja mjanja pale lazima upite mbio chuo kinaitaji nidhamu

WE BUILD THE CITY OF GOD

Shout out kwa Wana walioishi dafuu,Nyamalango na kwa Masha, kijiweni kwa malisa bila kusahau wadau tulionana the stone club enzi za ujimq, pilq villa park

Kweli kabisa mkuu. Kipindi Cha nyuma A ya SAUT ilianzia 80, wakati vyuo vingine A ilianzia 70. So mtu mwenye GPA ya Nne kwa vyuo vingine ana first class.
 
Labda siku hiizi kipindi Cha nyuma kupata GPA ya 4 SAUT ilikuwa muujiza.

SAUT eti mtu anakozi 10 kwa academic year halafu anapata 4.0 nyooooo kajaribu sehemu nyingine huu upuuzi.
SAUT unakuta mapadre Wana ikata kata kozi moja kuwa 2 ili wafundishe wote.
NB
Kozi nyingi siyo sababu ya kufeli ila wanafunzi wa bongo tunawajua.
Tunasema hivi ili panapovuja pazibwe
hih
 
Binafsi najua chanzo cha Shida pale SAUT ni Chief Financial Officer (Huyo mu Ethiopia uwezo wake ni mdogo kichwani). Amesoma Theology afu anapewa FINANCE/ACCOUNTING. Alipo kuwa DVCAA alifukuza IT mzuri (Mr. Boniphace) kisa ubabe wake tu. Na sijui kwa nn sisi Watanzania tuna ruhusu Wageni kuongeza sector nyeti za taasisi nchini kwetu. Utaalamu wowote hana eti tuseme ni Professional

Pia mapungufu yako karibu kila taasisi hapa nchini, hii ni kutokana na vyuo vingi kutotumia Technology ktk kutenda kazi zake. Siyo vyema kuchafua CHUO chako mitandaoni kisa kosa la IDs. Shida ya Madogo wa sasa mna penda sifa za Kijinga. Huko kufelishwa unako kusema hujawahi soma Government Univ. ili uone Direct Discontinuation zilivyo. Hakuna cha Carry over. Tena hakuna pa kulalamika. SAUT wana wadekeza kama watoto, kuonana na Dean, DVCAA, au VC ni kugusa tu kwa mwanachuo, jaribu Udsm uone sasa!! Kizazi hiki wanachuo ni wavivu sana, hata hawatimizi wajibu wao coursework hawafanyi, class hawaingii, private study hakuna, group discussions hakuna hadi muwe na Assignment tu ndio mta discuss nayo ni Copy and Paste from Google. Hivi kweli kizazi hiki mkiwekewa Turnitin plagiarism checker Research na Assignment zenu mta graduate kweli? Kazi yenu kubwa ni Umalaya tu. Kuzurura mjini kila kona. Pombe. Mademu. Club, na kuvaa vi model hadi wakaka.

TCU isipokaa vizuri in 20 years Taifa litakuwa na Graduate wa hovyo sna. Hawajui English. Reasoning ndogo. Miandiko mibovu. Thinking iko Low. Argument Skills Poor. Ubunifu Zero. Kisa mmedekezwa kufaulishwa tu. Mwl akibana, ili muive, oohhh mitandaoni eti rushwa, nk.

Umeongea ukweli. Wanafunzi wa Sasa ni majanga. Hapa SAUT wamedekezwa ndio maana wanapiga kelele, kwanza wanafunzi wanataka marks za bure na free time. Ukisimamia quality wewe mbaya. Pia, wanafunzi hawajitumi, ukimsimamia research ukataka aandike vizuri ananuna.
 
Back
Top Bottom