Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,537
- 13,847
- Thread starter
- #101
Shukrani sana mkuu kwa kuongeza jambo hili watu tukisema ukweli kuhusu lengo kubwa ni wajirekebishe ila kuna watu humu Mara ooh umekalia umalaya chuo,ooh unapenda mteremko Mara ooh huna akili una sup ila ukweli ndo huu tunao ongea hapa kuhusu SAUT Kuna shida kubwa Sana moja wapo ni kitengo Cha ITSAUT mtu anakuta ana sup na wakati somo hilo alikuwa na B+, alafu bahati mbaya ni somo la first year na ndio anajiandaa kufanya mahafali yake anaambiwa kuna somo anadaiwa mwaka juzi. Malipo nayo ndio hivyo.
Utashangaa wanafunzi wa SAUT ndio wanatunza makaratasi ya benki na wanaprint kila matokeo ya semester as if tuko karne ya 20. Information system yao mbovu mno, IT specialists tia maji tia maji
Kuhusu risiti za malipo ni kweli lazima uziweka tupa ukisha maliza chuo yaani cheti kipo mkononi.SAUT mwanafunzi anatunza test,Quiz kuanzia First year mpka third year na muda wa kutupa ni pale cheti kipo mkononi maana ni rahisi kukuambia system imecheza Leta course work