Nilisoma SAUT enzi za Dr Fr. kitima, those days kwanza chuo kilikuwa na hadhi na heshima kwakuwa hakukuwa na branches nyingi.
Lkn hizo kero ulizotaja, baadhi zilikuwepo t enzi hizo hasa kero kubwa ilikuwa ni Ile unajikuta ushalipa ada lkn bado deni likawa lipo pale pale hivyo ilitulazimu kutunza sana bank slip.
Hilo la matokeo mm pia ni mhanga, ilibaki kidogo nishindwe kuhitimu baada ya kukuta Nina sup ambayo sijui ht ilitoka wapi. Baada ya kufatilia sana ndio matokeo yakarekebishwa.
But, all in all by then hali ilikuwa nafuu kidogo kwsbb kadi za mitihani zilikuwa zinatolewa na department husika.