SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

Mkuu hujapunguza kitu kabisa. Mdogo wangu kamaliza Diploma hapo mwaka jana hayo mambo kayakuta.

Kuna jambo hujagusa, SAUT ndio chuo kinaongoza Tanzania kwa wanafunzi kujifungua hasa ukienda BaEd huwa wanataniwa kwamba wanazaa wanafunzi wao wenyewe. Hili sijabahatisha kulisema, nimezungukavyuo vingi kwenye matembezi yangu na nina marafiki wengi ila SAUT kwa kulea watoto ni next level
Hasa 2nd yr,
 
Shukrani sana mkuu kwa kuongeza jambo hili watu tukisema ukweli kuhusu lengo kubwa ni wajirekebishe ila kuna watu humu Mara ooh umekalia umalaya chuo,ooh unapenda mteremko Mara ooh huna akili una sup ila ukweli ndo huu tunao ongea hapa kuhusu SAUT Kuna shida kubwa Sana moja wapo ni kitengo Cha IT

Kuhusu risiti za malipo ni kweli lazima uziweka tupa ukisha maliza chuo yaani cheti kipo mkononi.SAUT mwanafunzi anatunza test,Quiz kuanzia First year mpka third year na muda wa kutupa ni pale cheti kipo mkononi maana ni rahisi kukuambia system imecheza Leta course work
Kazi ipo hapo,
 
Jiandae ni mtihani mkuu. Usidhani hapo serikali haipo! hayo mambo ya ID nadhani kila chuo ni ivo ivo, Ukienda pale UD utakuta vijana wamepanga mstari kwa ajili ya kupata ID.
ID inachukuliwa Department, hii ya kupanga mstari km primary ni UD ipi? Yaan campus ipi?
 
Mkuu hujapunguza kitu kabisa. Mdogo wangu kamaliza Diploma hapo mwaka jana hayo mambo kayakuta.

Kuna jambo hujagusa, SAUT ndio chuo kinaongoza Tanzania kwa wanafunzi kujifungua hasa ukienda BaEd huwa wanataniwa kwamba wanazaa wanafunzi wao wenyewe. Hili sijabahatisha kulisema, nimezungukavyuo vingi kwenye matembezi yangu na nina marafiki wengi ila SAUT kwa kulea watoto ni next level
Aacha utoto basi, chuo sio sekondari, unaruhusiwa kufunga ndoa nakurudi ukaendelea na masomo, ni wewe tu na akili yako.
 
Hii ndio sababu imemfanya popoma kuwa jobless mpaka leo na kutawaliwa na stress?
Sasa nitakuwaje 'Jobless' wakati Mkeo 'anayekazwa' na Dereva Bajaji na MImi pia huwa anatuhonga Pesa?

Stress za Kuchapiwa Mkeo, za Madeni uliyonayo na Mambo yako mengi kukuendea Kombo vinakutesa mno.

Huwezi kusoma SAUT na ukawa Jobless na unachonishangaza unajua kabisa nakukazia Mkeo na ananijua vyema unashindwaje Kumuuliza GENTAMYCINE nafanya nini?

Yaani nakusanifu mpaka burudani!!!
 
Watanzania achaneni kusoma mavyuo ya kata yasiojielewa,elimu ni bora lakini mjiridhishe na aina ya elimu munayoenda kusomea ktk hayo mavyuo uchwara.Serikali kupitia TCU ifanyie kazi haya malalamiko yanasababisha usumbufu inakuaje mtu mmoja tena mpuuzi anapiga watu RM bila sababu za msingi?inamaana hata uongozi wachuo yaani makamu mkuu wa chuo,mkuu wa chuo wote hawajielewi.Ishu ya incomplete ni kupotezea muda tuu wadogo zetu lakini pamoja na yoteeee achaneni na mavyuo ya ajabu ajabu we mpaka uende sauti vyuo vya maana ukuviona?vijana na wazazi elimu ni ghali lakini pia serikalini watu wenye dhamana fuatilieni haya mimavyuo uchwara ndugu zetu watanzania wanaumia.
 
Duuu hatari Sana Kuna ulazima serikali kupitia TCU ifanye jambo SAUT Kuna madudu mengi sana
TCU ni kikundi cha wahuni tuu na kipo pale ili kulamba asali tuu lakini sio kushughulikia mambo kama haya.Vyuo vingi nchini havikupaswa kuwepo hata kwa dakika moja,vinaanzisha course kwa majina tofauti ila content ni moja na hao wahuni TCU na sijui NACTE wapo wapo tuu.Mfano nenda ofisi zao hao wandugu haaa wanapiga story tuu hawana kazi nakutwa wanadhurula tuu
 
Chuo kinakuwa primitive kama kinapanga watu kama machungwa kusubiri ID. Hapo UDSM unaoona wamebanana kuchukua ID ni wale waliochelewa kulipa au kuchukua mpya. SAUT ni taratibu mbovu za chuo zinawachelewesha na mifumo mibovu.
Mipango unapewa control no kwenye account yako mwanafunzi unalipa na wala huulizwi wewe ni kupiga kitabu tuu.Jamaa hawana usumbufu ila kwa walimu wachache tuu nao ni himilivu.
 
Ushauri kwa Kaka, Dada, Mama, Baba, Mjomba, Shangazi na walezi usije mshauri kijana wako wa kike au wa kiume kuomba chuo Cha SAUT-Malimbe Mwanza tegemea yafuatayo

* Carry ya kutafutiwa na mhadhiri ushaidi waulize wanafunzi wa BAMC-3 juu ya course ya TV production

* Incomplete kwenye matokeo ni jambo la kawaida unaweza pata incomplete ukiwa first year mpaka unafika third year unayo licha ya juhudi binafsi kuiondoa kwenye hili wanafunzi wa PR ni wahanga na mashaidi wazuri Kama una ndugu anasoma uliza.

* Dharau wafanyakazi wengi SAUT sio wawajibikaji kutimiza wajibu wao huona Kama ni hisani pia dharau kwa wanafunzi mfano ni ofisi ya IT

* Wanafunzi kurudia course pale suala la incomplete likiwa ngumu mwanafunzi hushauri kurudia course ( carry) na kulipia kiasi Cha 50,000/=Tsh wakati sio kosa lake ni kosa la mfumo SIM

* Penalty ukiwa na deni la chuo na muda ukipita wa kulipa ndugu yangu penalty inakuhusu 100,000/= hata Kama una daiwa 10,000/=

* Kukosa ID ya kufanyia mtihani ada umelipa huna deni lakini kukosa ID ya kufanya mtihani ni kawaida hili ndio tatizo kubwa kwa Sasa mpaka muda huu watu hawajui hiyo jumatatu wataingia kwenye chumba Cha mtihani au laa.

* Chuo kujiendesha kienyeji. Yaani unawakusanya wanafunzi wa course zote katika chumba kimoja halafu wanasimama watu mbele wanaita majina ya ID za mitihani

Haya nikwa machache tu uzuri humu wadau wapo wengi Sana watakuja kuongezea.

"Zingatia ushauri huu utakuja kunishukuru baadaye"

Mi nilipoona popoma Gentamycin kasoma hapo nikajua kabisa hamna kitu hapo
 
Watanzania achaneni kusoma mavyuo ya kata yasiojielewa,elimu ni bora lakini mjiridhishe na aina ya elimu munayoenda kusomea ktk hayo mavyuo uchwara.Serikali kupitia TCU ifanyie kazi haya malalamiko yanasababisha usumbufu inakuaje mtu mmoja tena mpuuzi anapiga watu RM bila sababu za msingi?inamaana hata uongozi wachuo yaani makamu mkuu wa chuo,mkuu wa chuo wote hawajielewi.Ishu ya incomplete ni kupotezea muda tuu wadogo zetu lakini pamoja na yoteeee achaneni na mavyuo ya ajabu ajabu we mpaka uende sauti vyuo vya maana ukuviona?vijana na wazazi elimu ni ghali lakini pia serikalini watu wenye dhamana fuatilieni haya mimavyuo uchwara ndugu zetu watanzania wanaumia.
Unaeza shangaa boss wako amesoma SAUT
 
Mnakaa tu kusifia ujinga eti vyuo Bora sijui ni udsm, sijui wapi haya tuambieni hivyo Bora vimeleta mchango gani katika kuitoa Tanzania katika umasikini uliokithiri?

Mbona kama nchi ikitaka kufanya kazi za kitaalamu esp, katika field za engineering, medicine, IT lazima waemploy experts kutoka nje ya nchi, kwa nini wasichukue hao waliotoka vyuo Bora? Upuuzi tu mavyuo yote Tanzania ni Yale Yale

Bora hata SAUT Kuna pisi za kueleweka, ila ni kweli hiki chuo kijirekebishe kidogo wamejisahau mno, hasa pale IT Kuna uozo.
 
Hasa 2nd yr,
Second year kila chuo ndio wahuni. Wakiwa first year waoga, second year wanajiachia, third year na kuendelea wanatulia na wengi mahusiano ya kukurupuka yanavunjika. Third year wengi mwaka wa mwisho wana mambo mengi, mwaka wa nne ni kozi serious, madaktari mwaka wa tano ni malaya sana na wanakuwa wameoana hao maana wamezoeana sana
 
Back
Top Bottom