instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,544
- 19,491
Ardhi University nakikubali sana hiki chuo...Nilishasema mimi Tanzania vyuo ni vitatu tu
Ardhi University kama unataka kuwa mbobevu wa ukandarasi wa majengo na usanifu ramani na mambo ya ardhi.
SUA kama unataka kuwa mbobevu wa mambo ya kilimo
MZUMBE kama unataka uwe mbobevu wa maswala ya sheria uongozi na utawala bora
Vingine ni takataka tu
Walau St. Joseph i think
Watu wanaiva haswa..
Na kozi zake ni nzr
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app

