Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 36,945
- 49,454
Asante kwa ufafanuziAlumnus not Alumni! Alumni is plural, mhitimu mmoja wa kiume ni Alumnus, wakike ni Alumna.
Asante kwa ufafanuziAlumnus not Alumni! Alumni is plural, mhitimu mmoja wa kiume ni Alumnus, wakike ni Alumna.
Umenikumbusha mbali Sana ndugu,G.P.A ya 2.5 ya SAUT sawa na G.P.A ya 4.5 vyuo vingine wale ni warumi shule kwanza mengine badae ukiwa mjanja mjanja pale lazima upite mbio chuo kinaitaji nidhamu
WE BUILD THE CITY OF GOD
Shout out kwa Wana walioishi dafuu,Nyamalango na kwa Masha, kijiweni kwa malisa bila kusahau wadau tulionana the stone club enzi za ujimq, pilq villa park
Kuna story fulani ilizagaa miaka ya 2014 na 15 kuhusu graduate wa sheria SAUTI mwenye GPA ya 4 alienda kusoma masters UDSM. Wakampa interview Wakasema alifeli. Hii story ilizagaa saaanaG.P.A ya 2.5 ya SAUT sawa na G.P.A ya 4.5 vyuo vingine wale ni warumi shule kwanza mengine badae ukiwa mjanja mjanja pale lazima upite mbio chuo kinaitaji nidhamu
WE BUILD THE CITY OF GOD
Shout out kwa Wana walioishi dafuu,Nyamalango na kwa Masha, kijiweni kwa malisa bila kusahau wadau tulionana the stone club enzi za ujimq, pilq villa park
Acha story za kitoto. Lini SAUT ika andikwa SAUTIKuna story fulani ilizagaa miaka ya 2014 na 15 kuhusu graduate wa sheria SAUTI mwenye GPA ya 4 alienda kusoma masters UDSM. Wakampa interview Wakasema alifeli. Hii story ilizagaa saaana
Huyo mkuu wa chuo wao ni mwehu tuu..!kiongozi makini huzitambua changamoto mapema na kuzitafutia ufumbuzi.Huyo le proffeseri hana tofauti na lipumbavuDr.FatherApolinary Ndasi si ndiyo mkuu wenu?
Kwanini msimfuate mumueleze?
Ni mtu makini sana yule.
Uwapo Chuo soma acha ujingaUshauri kwa Kaka, Dada, Mama, Baba, Mjomba, Shangazi na walezi usije mshauri kijana wako wa kike au wa kiume kuomba chuo Cha SAUT-Malimbe Mwanza tegemea yafuatayo
* Carry ya kutafutiwa na mhadhiri ushaidi waulize wanafunzi wa BAMC-3 juu ya course ya TV production
* Incomplete kwenye matokeo ni jambo la kawaida unaweza pata incomplete ukiwa first year mpaka unafika third year unayo licha ya juhudi binafsi kuiondoa kwenye hili wanafunzi wa PR ni wahanga na mashaidi wazuri Kama una ndugu anasoma uliza.
* Dharau wafanyakazi wengi SAUT sio wawajibikaji kutimiza wajibu wao huona Kama ni hisani pia dharau kwa wanafunzi mfano ni ofisi ya IT
* Wanafunzi kurudia course pale suala la incomplete likiwa ngumu mwanafunzi hushauri kurudia course ( carry) na kulipia kiasi Cha 50,000/=Tsh wakati sio kosa lake ni kosa la mfumo SIM
* Penalty ukiwa na deni la chuo na muda ukipita wa kulipa ndugu yangu penalty inakuhusu 100,000/= hata Kama una daiwa 10,000/=
* Kukosa ID ya kufanyia mtihani ada umelipa huna deni lakini kukosa ID ya kufanya mtihani ni kawaida hili ndio tatizo kubwa kwa Sasa mpaka muda huu watu hawajui hiyo jumatatu wataingia kwenye chumba Cha mtihani au laa.
* Chuo kujiendesha kienyeji. Yaani unawakusanya wanafunzi wa course zote katika chumba kimoja halafu wanasimama watu mbele wanaita majina ya ID za mitihani![]()
![]()
Haya nikwa machache tu uzuri humu wadau wapo wengi Sana watakuja kuongezea.
"Zingatia ushauri huu utakuja kunishukuru baadaye"
Kuna chuo kikuu cha waomba dua Morogoro ambacho Ben aliwapa hao wanao muombea dua katelephone awowe chuma kingine ili apate utulivu sijui nacho bado ni Chuo Kikuu au...Tafuteni list ya vyuo bora tanzania vile 10 vya mwanzo ndio mkasome huko
Chuo hata top ten hakipo unaenda kusome ili iweje
Ujue mambo yake kienyeji sana
Hata ukasomee sayari ya Mars bado utarudi tu home.Nilishasema sintosoma degree yangu ndani ya nchii hii nimekomea diploma yangu basiii
ExactlyTatizo la SAUT sio chuo au wahadhiri, ila ni wanafunzi. Take that from me. Wanafunzi wanapenda mtelemko, wanataka kubebwa kuliko vyuo vingine. Sasa wanapo shindwa kubebwa huanza lawama.
Yule sista aiseeeKuna bursor mmoja hapo Ni sister mweusiiii alikuwa hamwangaliii mtu usoni kwenye ada enzi hizo sijui yupo bado? Pia kulikuwa na Dada mmoja dirisha la kuchukulia vitambulisho karibu na hosteli mpya alikuwa na kiburi yule Dada ilikuwa Kama chuo chake
Kuna Binti Yangu anasoma LLB1 ananambia waliopata ID ni wachache sana na wengi bado na ndo maana ratiba ya mtihan imesogezwa mpk tar 11 badala ya kesho.Ratiba ya mtihani ya sem2 ilitakiwa ianze j3,cha ajabu unaambiwa leo ile mida ya yanga anacheza game kua, j3 ni special na supp sem1 akati watu hatukufanya mitihan hatujapata id na tumelipa ada.sijui hizo id zitagawiwa lin sijyui ratiba itatoka sangap sijui nta ji organise vp , huku ni kutuvunjia haki zetu kama binadamu
Kila siku hii inchi inanipa sababu za msingi kabisa za kuamia usa[emoji35]
Usisahau Arusha Technical college
Chuo boraa
Hamna kitu mule, chuo cha kata kile, tafuta graduate wa pale halafu ongea nae umpime ubongo wake ndio utaamini, wanafunzi wengi pale ni rejects wa vyuo bora tz, ndio maana kwenye suala la wanaosubiri ajira saut hawapewi kipaombeleHiki chuo hakieleweki,wengine wanakisifia na wengine wanakipondea...
Mkuu Kwenye taasisi kama hz hua kuna wa2 tofauti tofaut kwahy wapenda mtelemko wapo na wanaohangaika pia wapo.Tatizo la SAUT sio chuo au wahadhiri, ila ni wanafunzi. Take that from me. Wanafunzi wanapenda mtelemko, wanataka kubebwa kuliko vyuo vingine. Sasa wanapo shindwa kubebwa huanza lawama.