Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,537
- 13,847
- Thread starter
- #121
Mkuu utaratibu huo ndo ulikuwepo mwanzo kila course inakwenda kuchukua ID kweny department kilicho fanyika Sasa ni sawa na mwalimu mkuu kuchukua mitihani yote toka chekechea mpka darasa la Saba alafu wanafunzi wote akawakusanya sehm moja na kuanza kuita majinaJiandae ni mtihani mkuu. Usidhani hapo serikali haipo! hayo mambo ya ID nadhani kila chuo ni ivo ivo, Ukienda pale UD utakuta vijana wamepanga mstari kwa ajili ya kupata ID.