SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

Wayahudi WAIKALIE palestine kwa muktadha wa kimahaba ila kwa suala la kuoshi wapalestine ndio haswa wanapaswa kuishi kwenye ardhi yao ambayo kwa sasa inaKALIWA kimabavu na wavamizi wa kizayuni
 
Wengi kwasababu kinachukua hadi vilaza
Hivi mfano mtu amemaliza form four, masomo ya arts yote ana AAA ila masomo ya science ana CCC, sasa kutokana na pressure katika jamii kwamba science inasoko ikabidi aachane na michepuo ya arts aliofaulu vizuri akaenda kusoma science ambako alama zake zilikuwa CCC, let's say labda akaenda kusoma PCB,CBG..nk..

Kwa vile huyu mwanafunzi siyo mzuri Sana katika masomo ya science ila ni mzuri kwa Arts japo kutokana na mazingira na pressure kutoka kwa wazazi amesoma science na bahati mbaya amepata div 3 ya PCB akakosa option ikabidi aende tu SAUT kusoma Labda Business Administration Sababu qualifications za kusoma kozi za afya amekosa

Je huyu mtu kwako ni kilaza? Yani amelazimishwa kusoma vitu asivyoviweza huko advance kwako ni kilaza?
 
The answer is YES. Why he/she didn't take proper decision? This is his/her life, and not someone's else!
 
Mleta mada upo? Umesikia vioja vingine vya SAUT wamesogeza mtihani mbele ulitakiwa uanze tar4 lakini utaanza tar11 ila hiyo sio mbaya sana.

Kioja kingine sasa SAUT walifanya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi Uraisi mgombea mmoja kutoka BAED mwingine ni LLB na mshindi akapatikana ambae alitoka BAED lakini tume ya uchaguzi iliitisha uchaguzi uludiwe.

Katika kurudia uchaguzi mgombea kutoka LLB ndiye alishinda siku ya jana, wadau waliona vihoja hatari kwanza kuna kundi likiongozwa na vijana wa CCM ambapo kulikua na katibu wa CCM SAUT anatoka sheria ndiye master wa wizi hadi akachukuliwa na polisi, Pia kijana huyo wa LLB 2 ndiye alikua na kura nyingi ambazo zimeshapigwa kwa mgombea wake wa LLB, pia alikua na ID za mwaka watatu lakini yeye ni mwaka wa 2.

Ukiachana na wizi wa kura kuna jambo jingine la ajabu ni matokeo kutangazwa bila wasimamizi na mawakala kusaini.
Alafu tatizo la SAUT ukitaka kugombea hasa uraisi ni lazima uwe mwana-ccm kama huna kadi huwezi gombea kabisa.
 
Ushauri kwa Kaka, Dada, Mama, Baba, Mjomba, Shangazi na walezi usije mshauri kijana wako wa kike au wa kiume kuomba chuo Cha SAUT-Malimbe Mwanza tegemea yafuatayo

* Carry ya kutafutiwa na mhadhiri ushaidi waulize wanafunzi wa BAMC-3 juu ya course ya TV production

* Incomplete kwenye matokeo ni jambo la kawaida unaweza pata incomplete ukiwa first year mpaka unafika third year unayo licha ya juhudi binafsi kuiondoa kwenye hili wanafunzi wa PR ni wahanga na mashaidi wazuri Kama una ndugu anasoma uliza.

* Dharau wafanyakazi wengi SAUT sio wawajibikaji kutimiza wajibu wao huona Kama ni hisani pia dharau kwa wanafunzi mfano ni ofisi ya IT

* Wanafunzi kurudia course pale suala la incomplete likiwa ngumu mwanafunzi hushauri kurudia course ( carry) na kulipia kiasi Cha 50,000/=Tsh wakati sio kosa lake ni kosa la mfumo SIM

* Penalty ukiwa na deni la chuo na muda ukipita wa kulipa ndugu yangu penalty inakuhusu 100,000/= hata Kama una daiwa 10,000/=

* Kukosa ID ya kufanyia mtihani ada umelipa huna deni lakini kukosa ID ya kufanya mtihani ni kawaida hili ndio tatizo kubwa kwa Sasa mpaka muda huu watu hawajui hiyo jumatatu wataingia kwenye chumba Cha mtihani au laa.

* Chuo kujiendesha kienyeji. Yaani unawakusanya wanafunzi wa course zote katika chumba kimoja halafu wanasimama watu mbele wanaita majina ya ID za mitihani

Haya nikwa machache tu uzuri humu wadau wapo wengi Sana watakuja kuongezea.

"Zingatia ushauri huu utakuja kunishukuru baadaye"
Kwamba unagundua leo au sizitaki mbichi hizi.
 
Mleta mada upo? Umesikia vioja vingine vya SAUT wamesogeza mtihani mbele ulitakiwa uanze tar4 lakini utaanza tar11 ila hiyo sio mbaya sana.

Kioja kingine sasa SAUT walifanya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi Uraisi mgombea mmoja kutoka BAED mwingine ni LLB na mshindi akapatikana ambae alitoka BAED lakini tume ya uchaguzi iliitisha uchaguzi uludiwe.

Katika kurudia uchaguzi mgombea kutoka LLB ndiye alishinda siku ya jana, wadau waliona vihoja hatari kwanza kuna kundi likiongozwa na vijana wa CCM ambapo kulikua na katibu wa CCM SAUT anatoka sheria ndiye master wa wizi hadi akachukuliwa na polisi, Pia kijana huyo wa LLB 2 ndiye alikua na kura nyingi ambazo zimeshapigwa kwa mgombea wake wa LLB, pia alikua na ID za mwaka watatu lakini yeye ni mwaka wa 2.

Ukiachana na wizi wa kura kuna jambo jingine la ajabu ni matokeo kutangazwa bila wasimamizi na mawakala kusaini.
Alafu tatizo la SAUT ukitaka kugombea hasa uraisi ni lazima uwe mwana-ccm kama huna kadi huwezi gombea kabisa.
Hii kuibiwa kura mkuu nimesikia kwa juujuu maana sio mfuatiliaji wa siasa takataka za pale na uhayawani huu umefanywa na vijana wa chama Cha mapinduzi bila aibu kabisa ubaya wahadhiri wengi ni Wana chama Cha mboga mboga.
 
Chuo chochote kilicho serious ni lazima kiweke masharti ya kukiendesha na kuthibiti ubora.
Nimekuwa nikifundisha vijana wa SAUT masomo kwa vitendo/field sijawahi kusikia malalamiko yeyote dhidi ya Uongozi au namna ya uendeshaji wa chuo chao.
Si vyema hata kidogo kukandya Taasisi inayotoa elimu kwa vijana wetu kwa issues za kijinga jinga.
 
Hii kuibiwa kura mkuu nimesikia kwa juujuu maana sio mfuatiliaji wa siasa takataka za pale na uhayawani huu umefanywa na vijana wa chama Cha mapinduzi bila aibu kabisa ubaya wahadhiri wengi ni Wana chama Cha mboga mboga.
Vijana wa Uvccm bure kabisa hawana maana pale kura ziliibiwa mchana kweupe na waliwakamata lakini amna hatua yyte iliyochukuliwa. Na sifa ya kuwa raisi pale ni lazima uwe mboga mboga ndio maana raisi aliyeshinda alipigwa chini na uchaguzi ukarudiwa.
 
Tatizo la SAUT halijali wahadhiri. Yani mshahara kupanda imekataliwa. Mhadhiri anafundisha wanafunzi elfu moja lakini mshahara ni ule ule miaka kumi na tano Sasa.
Kufanya kazi private na kumg'ang'ania sehemu moja ni uzembe wa hali ya juu
 
Daah maisha yetu magumu sana ni ngumu kuchagua watasoma wapi maana kipato kinabadilika kila kukicha ingawaje nishawatoa kwenye huo mfumo wa kusoma ili waje waanze kuomba mshahara wapandishiwe sikukuu ya Mei...
 
Back
Top Bottom