SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

Mkuu hujapunguza kitu kabisa. Mdogo wangu kamaliza Diploma hapo mwaka jana hayo mambo kayakuta.

Kuna jambo hujagusa, SAUT ndio chuo kinaongoza Tanzania kwa wanafunzi kujifungua hasa ukienda BaEd huwa wanataniwa kwamba wanazaa wanafunzi wao wenyewe. Hili sijabahatisha kulisema, nimezungukavyuo vingi kwenye matembezi yangu na nina marafiki wengi ila SAUT kwa kulea watoto ni next level
Pale hakuna utoaji mimba kama huko kwingine.
 
Nakuelrwa Sana mtoa mada Mimi tibaijuka alinishikilia yangu first year

Kuu nakuelewa Sana Uzi wako, Sina hamu na saut, nilishikilowa na mhadhir somontangu first year Hadi third year nannikashindwa kugraduate kisa nimemkataa
Pole Sana mkuu SAUT Kuna shida kubwa Sana panahitajika mageuzi makubwa Sana ya kimfumo na uongozi
 
Mkuu kuna ujinga mkubwa Sana SAUT yaani lecturer anawapa carry takribani course nzima alafu uongozi upo tu na taarifa wanazo sijui ndo kukaa kimya ili wavune zile 50,000/=
Mkuu someni acheni kudhurura dhurura huko Nyamalango, wanafunzi wa hizo course ulizotaja ndio wanaongoza kwa kula bata, kila weekend huwakosi jembe ni jembe sasa hapo unategemea nini? Mbona hujataja wanafunzi wa law au engineering.

Sikatai kuwa changamoto ndogo ndogo zinaweza kuwepo na hizo zinasababishwa na tabia za watu waliopo kwenye hivyo vitengo, ila kwa malamiko ya kufelishwa hasa wanafunzi wa PR hapo sikubaliani na wewe, yaani wale vijana huwa wanajiona kama wameshakuwa ni maafisa waajiri, wanaonaga wanachuo wengine kama sio watu vile, yaani kifupi huwa hawasomi wanasubiri mitihani ikikaribia ndio wanajikusanya kwenye vimbweta wanasoma na kwenda kukesha magetoni wakisoma kwa kuzima moto, for this input what output do you expect na ukuzingatia pengine lectures walikuwa wanarekodi maudhurio yao darasani na CA hawana how can you help these people.
 
Back
Top Bottom