SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

Hivi mfano mtu amemaliza form four, masomo ya arts yote ana AAA ila masomo ya science ana CCC, sasa kutokana na pressure katika jamii kwamba science inasoko ikabidi aachane na michepuo ya arts aliofaulu vizuri akaenda kusoma science ambako alama zake zilikuwa CCC, let's say labda akaenda kusoma PCB,CBG..nk..

Kwa vile huyu mwanafunzi siyo mzuri Sana katika masomo ya science ila ni mzuri kwa Arts japo kutokana na mazingira na pressure kutoka kwa wazazi amesoma science na bahati mbaya amepata div 3 ya PCB akakosa option ikabidi aende tu SAUT kusoma Labda Business Administration Sababu qualifications za kusoma kozi za afya amekosa

Je huyu mtu kwako ni kilaza? Yani amelazimishwa kusoma vitu asivyoviweza huko advance kwako ni kilaza?
Mpaka alazimishwe huyo ni kilaza by default 👻
 
Back
Top Bottom