SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

Mkuu hujapunguza kitu kabisa. Mdogo wangu kamaliza Diploma hapo mwaka jana hayo mambo kayakuta.

Kuna jambo hujagusa, SAUT ndio chuo kinaongoza Tanzania kwa wanafunzi kujifungua hasa ukienda BaEd huwa wanataniwa kwamba wanazaa wanafunzi wao wenyewe. Hili sijabahatisha kulisema, nimezungukavyuo vingi kwenye matembezi yangu na nina marafiki wengi ila SAUT kwa kulea watoto ni next level
Kwamba kinaongoza kwa kuleta single mama mtaani!!! Na wasio lea basi ujue ni mama wa marehemu wasiopungua watano,,
 
Nilisoma SAUT enzi za Dr Fr. kitima, those days kwanza chuo kilikuwa na hadhi na heshima kwakuwa hakukuwa na branches nyingi.
Lkn hizo kero ulizotaja, baadhi zilikuwepo t enzi hizo hasa kero kubwa ilikuwa ni Ile unajikuta ushalipa ada lkn bado deni likawa lipo pale pale hivyo ilitulazimu kutunza sana bank slip.
Hilo la matokeo mm pia ni mhanga, ilibaki kidogo nishindwe kuhitimu baada ya kukuta Nina sup ambayo sijui ht ilitoka wapi. Baada ya kufatilia sana ndio matokeo yakarekebishwa.
But, all in all by then hali ilikuwa nafuu kidogo kwsbb kadi za mitihani zilikuwa zinatolewa na department husika.
SAUT mtu anakuta ana sup na wakati somo hilo alikuwa na B+, alafu bahati mbaya ni somo la first year na ndio anajiandaa kufanya mahafali yake anaambiwa kuna somo anadaiwa mwaka juzi. Malipo nayo ndio hivyo.

Utashangaa wanafunzi wa SAUT ndio wanatunza makaratasi ya benki na wanaprint kila matokeo ya semester as if tuko karne ya 20. Information system yao mbovu mno, IT specialists tia maji tia maji
 
Kwamba kinaongoza kwa kuleta single mama mtaani!!! Na wasio lea basi ujue ni mama wa marehemu wasiopungua watano,,
Mdogo wangu wakati yupo Diploma nilikuwa A level. Nikawa nampigia simu naongea na marafiki zake, haikupita miezi wakaanza kubeba mimba mmoja baada ya mwingine. Kuja kupewa habari kumbe mimba kwao ni kawaida sana na huwa wanapewa kama special treatment wakiwa wajawazito yani kuna kahuruma ka mama huwa wanapewa.

Chuo changu ukibeba mimba it is unpleasant na kufeli ni nje nje maana kasi itakushinda. Hata hivyo kuna stigma kwa wanaobeba mimba unless wawe wameolewa. Chuo wasio na mimba kabisa ni ATC kwanza pale girls wachache alafu wagumu
 
Ushauri kwa Kaka,Dada,Mama,Baba,Mjomba,Shangazi na walezi usije mshauri kijana wako wa kike au wa kiume kuomba chuo Cha SAUT-Malimbe Mwanza tegemea yafuatayo

* Carry ya kutafutiwa na mhadhiri ushaidi waulize wanafunzi wa BAMC-3 juu ya course ya TV production

* Incomplete kwenye matokeo ni jambo la kawaida unaweza pata incomplete ukiwa first year mpaka unafika third year unayo licha ya juhudi binafsi kuiondoa kwenye hili wanafunzi wa PR ni wahanga na mashaidi wazuri Kama una ndugu anasoma uliza.

* Dharau wafanyakazi wengi SAUT sio wawajibikaji kutimiza wajibu wao huona Kama ni hisani pia dharau kwa wanafunzi mfano ni ofisi ya IT

* Wanafunzi kurudia course pale suala la incomplete likiwa ngumu mwanafunzi hushauri kurudia course ( carry) na kulipia kiasi Cha 50,000/=Tsh wakati sio kosa lake ni kosa la mfumo SIM

* Penalty ukiwa na deni la chuo na muda ukipita wa kulipa ndugu yangu penalty inakuhusu 100,000/= hata Kama una daiwa 10,000/=

* Kukosa ID ya kufanyia mtihani ada umelipa huna deni lakini kukosa ID ya kufanya mtihani ni kawaida hili ndo tatizo kubwa kwa Sasa mpaka muda huu watu hawajui hiyo jumatatu wataingia kwenye chumba Cha mtihani au laa.

* Chuo kujiendesha kienyeji.yaani unawakusanya wanafunzi wa course zote katika chumba kimoja alafu wanasimama watu mbele wanaita majina ya ID za mitihani

Haya nikwa machache tu uzuri humu wadau wapo wengi Sana watakuja kuongezea.

"Zingatia ushauri huu utakuja kunishukuru baadaye"
Vyuo vya Kata
 
Mdogo wangu wakati yupo Diploma nilikuwa A level. Nikawa nampigia simu naongea na marafiki zake, haikupita miezi wakaanza kubeba mimba mmoja baada ya mwingine. Kuja kupewa habari kumbe mimba kwao ni kawaida sana na huwa wanapewa kama special treatment wakiwa wajawazito yani kuna kahuruma ka mama huwa wanapewa.

Chuo changu ukibeba mimba it is unpleasant na kufeli ni nje nje maana kasi itakushinda. Hata hivyo kuna stigma kwa wanaobeba mimba unless wawe wameolewa. Chuo wasio na mimba kabisa ni ATC kwanza pale girls wachache alafu wagumu

Ila kwa kesi ya saut hawa sidhani km Ni special treatment mabinti wa hichp chuo Ni wachafu kitabia,, yupo dogo kamalizia hapo mwaka juzi ila kitabia zake ni shindikanaa,, niishie hapo tu
 
Mkuu hujapunguza kitu kabisa. Mdogo wangu kamaliza Diploma hapo mwaka jana hayo mambo kayakuta.

Kuna jambo hujagusa, SAUT ndio chuo kinaongoza Tanzania kwa wanafunzi kujifungua hasa ukienda BaEd huwa wanataniwa kwamba wanazaa wanafunzi wao wenyewe. Hili sijabahatisha kulisema, nimezungukavyuo vingi kwenye matembezi yangu na nina marafiki wengi ila SAUT kwa kulea watoto ni next level
Mimba za wana kitaa au wenyewe kwa wenyewe
 
Tafuteni list ya vyuo bora tanzania vile 10 vya mwanzo ndio mkasome huko

Chuo hata top ten hakipo unaenda kusome ili iweje

Ujue mambo yake kienyeji sana

SAUT imeshuka Sana. Miaka ya nyuma Sana iliwahi kusa sita Bora ila Sasa ni Bora twende. Pale walipoamua kuwadharau wahadhiri na kuwafanya cheap labour ndipo chuo kiliposhuka.

Yani kumlipa mhadhiri gratuty anapomaliza mkataba wake ni shida. Malimbikizo ya mshahara ndio usiseme. Pale SAUT Tabora wahadhiri wanadai mpaka million 40 arreas na nnssf hakuna kitu kilichowekwa kwa miaka Tisa. Unategemea Nini? Mwalimu gani atajitolea kwa dharau hizo.
 
Mkuu hujapunguza kitu kabisa. Mdogo wangu kamaliza Diploma hapo mwaka jana hayo mambo kayakuta.

Kuna jambo hujagusa, SAUT ndio chuo kinaongoza Tanzania kwa wanafunzi kujifungua hasa ukienda BaEd huwa wanataniwa kwamba wanazaa wanafunzi wao wenyewe. Hili sijabahatisha kulisema, nimezungukavyuo vingi kwenye matembezi yangu na nina marafiki wengi ila SAUT kwa kulea watoto ni next level

Hili Ni kweli. Wanajifungua Sana.
 
Nilisoma SAUT enzi za Dr Fr. kitima, those days kwanza chuo kilikuwa na hadhi na heshima kwakuwa hakukuwa na branches nyingi.
Lkn hizo kero ulizotaja, baadhi zilikuwepo t enzi hizo hasa kero kubwa ilikuwa ni Ile unajikuta ushalipa ada lkn bado deni likawa lipo pale pale hivyo ilitulazimu kutunza sana bank slip.
Hilo la matokeo mm pia ni mhanga, ilibaki kidogo nishindwe kuhitimu baada ya kukuta Nina sup ambayo sijui ht ilitoka wapi. Baada ya kufatilia sana ndio matokeo yakarekebishwa.
But, all in all by then hali ilikuwa nafuu kidogo kwsbb kadi za mitihani zilikuwa zinatolewa na department husika.

Kwa Sasa chuo kina wanafunzi wengi Sana nadhani man power imeshindwa kushikilia wingi huo mpaka kuruhusu makosa Kama hayo yatokee. Chuo chenye wanafunzi zaidi ya elfu kumi na mbili Ina IT watatu. Is it possible? .
 
Yani
Angekuwepo Ndalichako aisee kingefungwa faster

Yani waziri aamuru kwanza wahadhiri wote wanaodai madeni walipwe madeni yao ya mshahara , gratuity na nssf. Yani unafanya kazi miaka Tisa unaondoka bila shilingi kumi unaacha millioni 40 nyuma, ukifatilia unajibiwa kwa dharau na kuambiwa mpo wengi.

I wish atokee kiongozi awatetee wahadhiri wa SAUT hasa Tabora Campus walipwe Haki zao ni Kama wametapeliwa.
 
M9 haijazi wanafunzi wa kozi zote kama ulivyosema, hao ni wanafunzi wa kozi moja tu.wengi hamlipi ada mkibanwa mnaanza kulaumu,
Halafu Hilo darasa ni dogo sana, nalijua M9 ndio lilikuwa darasa letu sie tuliyokuwa wachache. Haliwezi kubeba watu 300 unless kwa kujibana sana.
 
Asilimia 99% aliyoongea mtoa mada ni ukweli Mtu.
Tuliotoka hapo miaka kadhaa tunajua. Jamaa hajakosea mulemule. Ila ukiwa doger hiki chuo hakikufai. Muhimu kukomaa. Mfano me ilifika siku ya kudefend research supervisor wa kundi letu hajatuwekea sign na kupeleka majina ili tuingie kwenye hiyo panel. Yaani yuko ana defendisha wanafunzi wa supervisor wengine sisi tuko tunahaha balaa. Watu wa group letu walikuwa punctual hatari ilikuwa wazi lakini sijui alitaka tuhangaike tu. Tunamfuata anasema eti tu jiandae tuje October kudefend tujichange tulipie gest kundi zima. Weee nilimuandikia ujumbe mkali wenye hisia na ukali humohumo. . Mbona alitusainia na tulidefend.
SAUT ni chuo changu ila wanafanya mambo kwa mazoea.
 
Mwaka 2020 rais wa chuo bwana elian alifanya ubadhirifu mkuu wa pesa za Students organization lakini anadunda tu chuo hakijamchukulia hatua
 
Back
Top Bottom