GENTAMYCINE - kwa taarifa.....🤣🤣🤣Chuo alichosoma popoma la kutukuka ni chuo uchwara tu.
Mkuu BAED wanazaa sana sababu hawatoi mimba kizembe maana kozi nyingine ni majanga ata vyuo vingine kama ud wanatoa mimba balaa.Mkuu hujapunguza kitu kabisa. Mdogo wangu kamaliza Diploma hapo mwaka jana hayo mambo kayakuta.
Kuna jambo hujagusa, SAUT ndio chuo kinaongoza Tanzania kwa wanafunzi kujifungua hasa ukienda BaEd huwa wanataniwa kwamba wanazaa wanafunzi wao wenyewe. Hili sijabahatisha kulisema, nimezungukavyuo vingi kwenye matembezi yangu na nina marafiki wengi ila SAUT kwa kulea watoto ni next level
GENTAMYCINE the charismatic Fela....Daah, aiseee?!😅😅Hii ndio sababu imemfanya popoma kuwa jobless mpaka leo na kutawaliwa na stress?
Mkuu ni kweli huo utaratibu ni mbovu sana lakini waliosababisha mfumo huo utumike ni wanafunzi wenyewe,Mkuu kila mtu ana juhudi katika kusoma suala hapa ni mifumo mibovu huwezi ita course zote sehm moja kisa kuanza kuita majina ya wanafunzi ili kupata ID huu ni upuuzi
Mkuu, SAUT kama una vithibitisho ni wepesi kukuelewa muulize mdogo wako vizuri maana SAUT wana mtindo wa kupiga penalty wanafunzi wanakuwa wanachelewa kulipa special faculty au direct cost wanasubiri favor kutoka kwa financial controller maana ni jamaa muelewa sanaMkuu nakuhakikishia ninachosema, mdogo wangu ni wa kike kwanza hayupo JF. Hapa nimekuja home mara moja mwenyewe nimetoka chuo. Huu uzi nimeanza kuujibu kabla sijaongea naye wakati anakuja ndio nikamuuliza akanishangaza kwa suala la kudaiwa tena. Alidaiwa hela kwanza, ndio akatoa risiti zote ila akadaiwa elfu tisini ya nini sijui. Hakutoa hata mia!
Hilo ni kweli wale wana utu. Hata hapa Dar kati ya vyuo angalau watoto wa kike pale wana nafuu ni Mwalimu Nyerere hasa BaEdMkuu BAED wanazaa sana sababu hawatoi mimba kizembe maana kozi nyingine ni majanga ata vyuo vingine kama ud wanatoa mimba balaa.
Niliwai kufanya research juu ya hilo jambo kwa SAUT majibu niliyopata ni hatari maduka ya madawa karibia mengi walisema kuna dawa inanunulika sana kwaajili ya kutolea mimba changa kabisa.Hilo ni kweli wale wana utu. Hata hapa Dar kati ya vyuo angalau watoto wa kike pale wana nafuu ni Mwalimu Nyerere hasa BaEd
Wapo wengi sana tunaowafahamu na wamemaliza vidigriiii. Acha ulofaMkuu leta muongozo wa TCU ambao unataja wazi chio kudahiri mwanafunzi mwenye 4
Mkuu nimeshiriki zoezi hilo siku ya kwanza kabisa Kuna watu hatuna madeni kabisa lakini tulikosa ID niweze kusema kwamba mwaka huu wameharibu utaratibu mbona mfano BAMC toka first year Id huwa wanachukua ID pale department au newsroom nini kimefanya utaratibu huu kubadilika ?Mkuu ni kweli huo utaratibu ni mbovu sana lakini waliosababisha mfumo huo utumike ni wanafunzi wenyewe,
Wiki iliyopita na jumatatu wiki hii ID zilikua zikigawiwa kupitia wabunge na Cr's yaani mfano BAED MaCr wao wanapewa Id wanagawa darasan kwa utulivu tu. Sasa shida inakuja ukichukua Id inabidi usaini kama umechukua Id ya mtihani sasa watu wanachukuliana Id alafu hawasaini wanaondoka tu na kero nyingine ni kwamba mtu anachukua Id yako alaf anakausha nayo hakupi wengine wanapoteza.
Sasa hiyo inafanya ofisi za IT kurudia kutoa Id zile zile ambazo walishatoa sababu tu hazikusainiwa.
Wiki iliyopita kuna wadau wamepata Id kirahisi sana yani mpo class ata 50 hamfiki mnapewa Id zenu ila wanafunzi wenyewe ndio wamekosea sasa ili kutopoteza muda na resources imebidi mfumo huo utumike. Na ukifatilia kwa makini mfumo huo huwa unatumika mwishoni mwishoni kuelekea UE, hapo kuna wale ambao hawakulipa ada wengine,, wengine direct cost na wengine special faculty sasa saizi lazma mfumo huo utumike.
Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anafanya kazi Kamanga hospital aliwahi niambie mambo mengi Sana kuhusu wanawake wa SAUT kutoa mimba ni mambo ya hatari Sana.Niliwai kufanya research juu ya hilo jambo kwa SAUT majibu niliyopata ni hatari maduka ya madawa karibia mengi walisema kuna dawa inanunulika sana kwaajili ya kutolea mimba changa kabisa.
Halafu p2 ndio dawa inanunuliwa sana, sasa ukihoji wanafunzi wenyewe wakike nilikuja gundua inawezekana kati ya wanafunzi 10, 6 washawai kutoa mimba hao wanafunzi wa kozi nyingine ukiwatoa BAED.
Jibu swali chuo gani kinafanya udahiri kwa mtu mwenye 4 ?Wapo wengi sana tunaowafahamu na wamemaliza vidigriiii. Acha ulofa
Mkuu kwenye Id komaa utapata tu kama ushalipia kila kitu, ila kozi nyingi wana walimu viburi sana na wenye majivuno sana hapo chuoni afadhali ya baed kidogo, ila nahisi kuna utaratibu wa kuweza kumshataki uyo mwalimu kwenye department zenu ili mpate haki au unaweza kuwaona mapadri huwa wana msaada Sana.Mkuu nimeshiriki zoezi hilo siku ya kwanza kabisa Kuna watu hatuna madeni kabisa lakini tulikosa ID niweze kusema kwamba mwaka huu wameharibu utaratibu mbona mfano BAMC toka first year Id huwa wanachukua ID pale department au newsroom nini kimefanya utaratibu huu kubadilika ?
Viongozi wengi wa serikali ya wanafunzi SAUT hawana influence hivyo kukosa ushawishi angalia Sasa ni muda wa kampeni lakini Kuna wanafunzi hawajui lolote kuhusu uchaguzi maana kazi yao haionekani zaidi kuvaa ma t-shirt ya nembo ya SAUT na rais wa chuo kuvaa suti za hovyo na kalamu ya blue na red kwenye mfuko wa sharti.
IT ya SAUT niya hovyo sana hii sehemu inahitaji watu humble sio wale wajuaje na wenye dharau niliwahi pata shida ya password hivyo kuomba msaada kwao nilipiga simu takribani wiki mbili hakuna aliye pokea mpka wiki ya tatu na papo hapo majibu yao yalikuwa ya hovyo na kuudhi.
Kuna wanafunzi kuanzia mwaka wa kwanza mpaka leo wapo mwaka tatu hawaja wahi tumia pesa zao za special faculty wakidai ni kalenda tu wakati ni pesa zao halali kabisa.
Kama upo SAUT nadhani usikia matatzo ya wanafunzi wa BAMC-3 juu ya yule jamaa anaye fundisha Photo journalism na TV production ule ulikuwa uhuni wa hovyo alafu bado mtu anajigamba kabisa kwa kiburi "this is my empire"
Hawa hawa BAMC-3 Kuna kipindi wali wahi toa pesa kufanya marekebisho ya Newsroom je,ni halali mwanafunzi kutoa pesa kwa ajili ya maintenance ya ofisi ya chuo?
Mbona chako kinasifiwa kwa Ushoga ulioutoa huko na wala hukisemi hapa? Ndiyo I'm proud of my SAUT tena sana sawa?








Ila kweli afu wengi wasichana wanazaa mnoTatizo la SAUT sio chuo au wahadhiri, ila ni wanafunzi. Take that from me. Wanafunzi wanapenda mtelemko, wanataka kubebwa kuliko vyuo vingine. Sasa wanapo shindwa kubebwa huanza lawama.





Tafuteni list ya vyuo bora tanzania vile 10 vya mwanzo ndio mkasome huko
Chuo hata top ten hakipo unaenda kusome ili iweje
Ujue mambo yake kienyeji sana







Heshimu chuo kikuu na bora nchini na Africa kwa ujumla, plz.Daah nimeshtuka nikadhani udsm
Mkuu sio kweli wanafunzi wanapambana mifumo niya hovyo.Angalia picha hiyo chini wanafunzi wanagawiwa ID Kama wanafunzi wa shule ya msingiView attachment 2277528





khaaaah