Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Charity mkuu nimekutafuta sana ile ID yangu maarufu imezinguaKwenye u-turn blog nakumbuka alimtukana mama wa watu enzi ndo instagram inapamba moto hadi akajiua,funny enough akawa anaendelea kumchamba marehemu!huyu ni wakuepukwa kama ukoma yaani nashangaa sana wanaojitoaga ufaham kupambana naye.
Kweli vile sitanii alijiua sema tu ile blog yake aipo saivi ningekupa link,alimdhalilisha mno.[emoji2] [emoji2] kuchambwa hadi kujiua!!
khee jaman wewe uache utundu niliona umepigwa ban sijui ya maisha!haya ngoja nicheki kwanza nakupa maana nimekuaje busy sikuhizi.Charity mkuu nimekutafuta sana ile ID yangu maarufu imezingua
Sema fanya unitupie ata sure za leo nitafute pesa siunajua tena
Poa poa best fanya ivyokhee jaman wewe uache utundu niliona umepigwa ban sijui ya maisha!haya ngoja nicheki kwanza nakupa maana nimekuaje busy sikuhizi.
Dah[emoji3][emoji3]Mange ni kibokoKweli vile sitanii alijiua sema tu ile blog yake aipo saivi ningekupa link,alimdhalilisha mno.
Na leo kamtukana tena huyo kipenzi chako,ingia instagram ujioneethat's my sweet Mange. Dada wa Taifa, national treasure, masters Holder, the notorious ass's kicker, potential Times person of the year and notably the potential Nobel Peace award contender.
Nilishakusamehe Da Mange kwa matusi kwa kipenzi Cha wote rais lowasa. Please muombe msamaha kwenye ukurasa wako wa Instagram.
ISIS
MangeKimambi ni mbabe kuliko Mtanzania yeyote hivi sasa, hamna anayetaka kumsogelea.
Kuanzia Faru John, BASHITE hadi Sheikh TITO
Ina maana bashite alipakaziwa kupata 0 form 4,alipakaziwa kutumia cheti cha mtu kujiendeleza kielimu pia?Kuna msemo unasema ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga Shehe katoa watoto wa watu mariba na yeye pia hana.Hapana sio mbabe anachofanya ni kukupakazia habari za uongo na kumchafua tu mtu,hebu kumbuka yule alieambiwa na ananuka papuchi,ina maana yule anaemuoa saiv anavumilia tu? Me siamin habari zake zozote zile najua ni uzushi tu
Huyo sikuhizi ameamua kimdharauWho is next in her minutes?? Hope not Faru John
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ameshaset standards waache wanawake wagombane ukiingilia utaaibika. Hivi mtu akikusingizia wewe shoga unajiteteaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwaza hivyo tu maneno na mademu sipendi kabisa
Wapo wanaume wajinga wanajibishanaga na sisi.Hivi unaanzaje kujibizana na mwanamke...???
Hajawahi kuwa sawa. Ana huu uchizi siku nyingi tu sema wengi mlikua hamumjui. Wale wa uturn tunamjua vizuri. Sasa bado enzi hana blog anashindana na wababa wa mjini. Sema u turn alikua hatukani viongozi alikua anadeal na wauza madawa na wanawake zao.kama kuna mtu mzima na akili zake anamtilia maanani mange kimambi ana walakini kichwani kwake.
mimi nafikiri baada ya taraka huyu dada hayuko sawa mpaka sasa.
Nawawazia sana wanaopata ujasiri wa kutumaga taarifa nyeti insta ya Mange. Alisemaga hata Lau Masha alikua anamtumia taarifa za mkulu. Sasa wakubwa wanaompaga taarifa waendelee kumnyenyekea tu maana ni dakika moja anawageuka.Source yake huyu dada ni shida.nnachohisi kuna watu wako behind the scene!tena wakubwa wakubwa haswaa!lakini ndio safi kudanganya watanzania na waumini sasa itakuwa basi!utadanganya lakini background yako iko siku itakuwa uchi wa nyama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani akiwa ameshika kikombe cha chai ukalitamka tu hilo jina lazma akidondoshe
Kuna mambo mengine ni magumu kuyatetea sheikh anaambiwa anakula [emoji102],atajiteteaje sasa!?Ameshaset standards waache wanawake wagombane ukiingilia utaaibika. Hivi mtu akikusingizia wewe shoga unajiteteaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwaza hivyo tu maneno na mademu sipendi kabisa
Dah!Wapo wanaume wajinga wanajibishanaga na sisi.