Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa
Nyani wale wale agenda zile zile:
Hiiiiii bagosha!
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa
Mama yako mbona bado yuko chadema na yeye tuseme hana akili timamu filigisi weweHakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa
Mvuto unaoutaka weye ni upi?Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa
Kwa hiyo ni wanamfua tafuata na siyo yeye anayewafuata?Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.
Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.
CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa
JM
kuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa
Tunyweni bia jamaniSijawai kuwa CCM na siwezi kuwa sehemu ya Mashetani
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa
Hii ni kuonesha wazi kwa Chadema ni chama chenye kulea vijana na kuandaa wanasisa madhubuti na ndio sababu CCM na Serikali zake zinawaiba vijana wa upinzani na kuwapa vyeo katika serikali zao.Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.
Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.
CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa
JM
CDM inatakiwa ibadili mikakati yao,siasa wanazofanya zimepitwa na wakati,hazina tija.....kwa nini hawajifunzi hata hapo Kenya tu?Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.
Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.
CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa
JM
Wamchukue tu tumeshamuivishaHakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.
Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.
CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa
JM
Mbona huyo ni TISS tangia akiwa mwanahabari pale Channel 10 na DTV kisha Choni IFM?Salum mwalim huyu huyu tunayeishi naye hapa mtaani kwetu au?
Mbowe anastahili medani, kijana aliyempa mafunzo ya kisiasa amekua turufu ya CCM.Wamchukue tu tumeshamuivisha
Kwa namna mnavyotunia vyombo vyenu vya dola kubaki madarakani, hiyo ndiyo "the only reason" inayowafanya wapinzani watamani kuingia CCM,Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa
Ha ha ha ha hayo ni MakaraiWewe umetumikia ccm miaka halafu cheo anapewa Salumu Mwalimu , huoni fedheha ?
Salum mwalimu anafahamika wakati akiibia mitihani IFMWewe umetumikia ccm miaka halafu cheo anapewa Salumu Mwalimu , huoni fedheha ?
😂😂😂😂😂😂😂😂Aende tu alienda slaa!!
Wewe ndugu yangu nakuaminia. It's just a matter of time before you realise kwamba CDM hamna sera ni kikundi cha watu tu kinachotafuta ulaji.Acha vijana wale shavu. Wananchi wenyewe wakuwatumikia wako wapi?