Tetesi: Salumu Mwalimu adaiwa kupewa Kitengo ndani ya CCM

Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa

Nyani wale wale agenda zile zile:

IMG_20210912_025644_909.jpg

Hiiiiii bagosha!
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.

Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.

CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa

JM
Kwa hiyo ni wanamfua tafuata na siyo yeye anayewafuata?
 
Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm, ila kwa bahati mbaya ukweli ni kinyume na matamanio yenu. Unapoona matumizi makubwa ya nguvu dhidi ya cdm, ujue ni kwakuwa ukweli uliopo ni kinyume cha matamanio ya ccm.

Ni hivi, ccm sio chama cha kizazi hiki, ndio maana wizi wa kura kwa ushirikiano na vyombo vya dola, ndio njia pekee ya ccm kubaki madarakani kwa shuruti. Huu ndio ukweli mchungu.
kuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa

Kama ni kweli, Mwalimu ni akili kubwa. Hapo ndipo utajua uzito wa CHADEMA kwenye CV ya mwanasiasa.

Angeanzia CCM. Hata uenyekiti wa tawi ingekuwa tabu kuupata.
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.

Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.

CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa

JM
Hii ni kuonesha wazi kwa Chadema ni chama chenye kulea vijana na kuandaa wanasisa madhubuti na ndio sababu CCM na Serikali zake zinawaiba vijana wa upinzani na kuwapa vyeo katika serikali zao.
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.

Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.

CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa

JM
CDM inatakiwa ibadili mikakati yao,siasa wanazofanya zimepitwa na wakati,hazina tija.....kwa nini hawajifunzi hata hapo Kenya tu?
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.

Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.

CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa

JM
Wamchukue tu tumeshamuivisha
 
Salum mwalim huyu huyu tunayeishi naye hapa mtaani kwetu au?
Mbona huyo ni TISS tangia akiwa mwanahabari pale Channel 10 na DTV kisha Choni IFM?

Wa namna hiyo wapo wengi saana upinzani. ZZK, Ado Shaibu, JJ Mnyika kwa kutaja wachache. Kama ru walivyokua kina P. Katambi, Nyaucho Mabere Marando, Mrema Lyatonga A., Mbati Francis J. Na wengine kibao

Naangaliaga hizi sinema kisha nacheka tu najisemea hiiiiii bagosha. Na nani hapa anafanywa katuni? Sisi wananchi au wao?
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa
Kwa namna mnavyotunia vyombo vyenu vya dola kubaki madarakani, hiyo ndiyo "the only reason" inayowafanya wapinzani watamani kuingia CCM,

Kwa kuwa wanaamini kuendelea kubaki upinzani ni kuendelea kuteseka kwa muda mrefu, kwa kuwa nyinyi masisiem mmewawekea "economic sanctions"

Lakini siyo kwa kuwa wanavutiwa na sera zenu za ukandamizaji, ubabe na kutotaka kabisa demokrasia idumishwe hapa nchini. OVA
 
Back
Top Bottom