kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,258
- 13,265
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Mbona wewe ndio umejidharirisha hapa?ficha upunguani wako.
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Kwani Pasco amepatwa na nini, mbona amebadilika ghafla. Anayejua atujuze.
Pasco utakumbukwa sana kwenye hili. Siku ile nakumbuka watu walisema njaa itakupeleka pabaya na kukupa majina mengi sana. Lakini kadri habari zinavyounfold wale bendera fuata upepo wanaanza kuona kile ulichowaambia.
Ushahidi mwingine
Kwa mujibu wa Wakili Lissu, yamepatikana pia mawasiliano ya mtu aitwaye Dennis Msacky akimpigia simu Lwakatare, ambapo wamemuuliza Lwakatare iwapo ni kweli aliwasiliana na mtu mwenye jina hilo (ambaye kwenye charge sheet ya pili, polisi wameonesha ndiye aliyekuwa akipangiwa kutekwa/kufanyiwa vitendo vya ugaidi), naye amekubali kuwa ni kweli alimpigia simu siku moja kabla ya tukio la kurekodiwa, akimuuliza kama amerudi Dar es Salaam, naye akamwambia alikuwa njiani kutoka Bukoba.
Mkuu Mpaka Kieleweke,
Kwanza poleni kwa yote!.
Pili mnayo team nzuri sana ya wanasheria, lakini nashauri, mara moja moja, muwe mnasikiliza maoni ya ma layman kama sisi kupitia humu jf.
Nasikitika kuwaambia kitendo cha kufungua kesi kuhoji mamlaka ya DPP, its a wastage of time!. Mamlaka ya DPP haihojiwi na mamlaka yoyote hata rais wa nchi, hawezi kuyahoji, hivyo you are fighting a loosing battle!.
Ni kweli timu yenu ya sheria is a good team, nashauri please seek legal opinion ya best criminal lawyers around, kwa sababu baadhi ya wanasheria wenu ni politiciancs, wajiangalie wasije wakaipoliticise hii kesi kuonekana its a political case, bali muendelee kuipigania iwe abduction na sio terrorisim!.
Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.
Huu ni ushauri wa bure tuu toka kwa layman.
Pasco.
Mkuu,nilikuwa ninashangaa anavyokiri kila kitu na kukataa sauti katika statement ya police.Chafya inaweza kuwa ugaidi hivi leo kama unamafua ya ndege na kwa makusudi ukaama kuyaeneza sio jinai?
Nilikuwa naamini kuwa kuna watu ndani ya CCM wana akili timamu ni pamoja na huyu mwana JF mwenzangu Ng'wamapalala lakini nimekuja kugundua huyu jamaa ni kati ya walio jaza mavi kichani...
Haaa! kumbe ameua mtu? sasa naanza kuchimba ushahidi kumhusu huyuu muuaji ili nimburuze mahakamani!!
sio rahisi Chemba kutinga mahakamani
Thanks.ngoja nimjibie Ludovick ni tarishi wa Denis Msacky,Zitto Kabwe,Mwiguru Nchemba wote kwa pamoja kuanzia tarehe 27 dec 2012- 2-February 2013 walikuwa kwenye mawasiliano mazito ya kuchonga video, je ndio TISS ya Tanzania inavyofanya kazi kujiacha uchi trace thread ya wanasheria wa chadema utapata habari hii
Acheni vyombo vya dola vifanye kazi kwa uhuru.