Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Yeah, Wapo wengi tu hata hapa JF waliokuwa wameshupaa na mawazo kama ya Dr. Slaa.mtu wa kwanza kudhalilika mpaka hapa tulipo ni Dr. Slaa aliyesema video ni fake.
Yeah, Wapo wengi tu hata hapa JF waliokuwa wameshupaa na mawazo kama ya Dr. Slaa.mtu wa kwanza kudhalilika mpaka hapa tulipo ni Dr. Slaa aliyesema video ni fake.
Hivi sasa wanasheria wa CHADEMA wanafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na tukio la Lwakatare na makosa ambayo alishitakiwa nayo.
Anaeleza kuwa kama ameshitakiwa kwa ugaidi lazima makosa hayo yawe ni ya kigaidi, ila makosa ya Kidnapping na abduction ni makosa ya kawaida ya jinai , na kama ili yawe ya kigaidi ni lazima hayo makosa yawe yamefanyika kwa malengo ya kigaidi , na hata hati ya mashitaka haina maelezo ya makosa ya ugaidi .
Nyongeza: kuhusu video amesema tayari kuna ushahidi wa kimawasiliano baina ya Mwigulu Nchemba ya tarehe 28.12.2012 wakiwasiliana na Ludovick saa 5:55 asubuhi , na Lwakatare amesema kuwa yeye alikutana na Ludovick kuanzia saa tano asubuhi tarehe 28.
Aidha , ameongeza kuwa tarehe 27.12.2012 Denis Msacky alimpigia simu Lwakatare wakati akiwa njiani kurejea akitokea Kagera , akiwa Morogoro na kumuuliza kama yupo DSM , akamjibu yuko njiani.
Tatu, tarehe 29.12.2012 Mwigulu Nchemba , akiwa na Zitto na Mtatiro Star Tv , kipindi cha tuongee asubuhi ndipo alisema kuwa ana mkanda wa viongoz i wa chadema wakipanga mauaji ......sasa haya yote yatajulikana mahakamani.
Ziada .
Maelezo aliyotoa Lwakatare polisi kuhusu maneno yaliyoko kwenye video alisema kuwa yeye anakumbuka siku ya tarehe 28, alikuwa nyumbani kwake na Ludovick ndio alienda kwake , ila picha ya video ni ya kwake , sura ni ya kwake ila baadhi ya maneno yaliyoko sio ya kwake na ameandika hivyo , kwa hiyo kuhusu ukweli wa mkanda majibu ya kina yanatakiwa kutoka polisi , Mwigulu na Denis ndio wanajua nini kipo kwenye mkanda . Hivyo picha limeanza kuonekana , na kwa taarifa zaidi ni kuwa polisi wana video yenye dakika 27.06 na maneno yanatofautiana sana na yaliyoko kwenye You tube iliyowekwa kwenye mitandao .
Sasa polisi nao waliulizwa ni kwanini hawajamkamata aliyeweka hiyo you tube kwenye mitandao walitoa majibu yao na mawakili wanaendelea na uchunguzi wao.
how is that?,kwanini humwelewi bana,una matatizo gani?au kwakua haungi mkono mawazo yako eeh?How? alisema nini? na unahisi umati ulicheka kwasababu gani? umati ulimcheka Lisu au ulichekeshwa kwa jambo lingine? ZeMarcopolo ni miongoni mwa watu wachache sana nisiowaelewa kabisa hapa Jamvini!!!!
Yeah, Wapo wengi tu hata hapa JF waliokuwa wameshupaa na mawazo kama ya Dr. Slaa.
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Yes, kwa hayo mawili kufanyika, lazima Ludo awe TISS ili pia point ya Mh. Lissu ya TISS kuifanyia kazi CCM isimame otherwise ni contradiction.What if huyo Ludo naye ni uwt!
Mtahangaika sana ila sheria itachukua mkondo wake. SWALA LA MSINGI NI KWANINI APANGE KUTEKA WATU NA KUWAPA WATU DAWA ZA USINGIZI? HAIJALISHI VIDEO IMEPATIKANAJE. ILA NI KWANINI APANGE HAYO?
Mtahangaika sana ila sheria itachukua mkondo wake. SWALA LA MSINGI NI KWANINI APANGE KUTEKA WATU NA KUWAPA WATU DAWA ZA USINGIZI? HAIJALISHI VIDEO IMEPATIKANAJE. ILA NI KWANINI APANGE HAYO?
Ooh, Sorry Dude, kumbe jiwe langu nililolusha gizani limekupata. Ukweli mara nyingi ni Mwiba.Jipeni moyo!
Yeah, Wapo wengi tu hata hapa JF waliokuwa wameshupaa na mawazo kama ya Dr. Slaa.
kivip? Mkuu?Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Mkuu Mpaka Kieleweke,Mamlaka ya DPP ni kufuta kesi kama kufanya hivyo kutakuwa ni kwa masilahi ya taifa au kwa nia ya kulenga kupata haki, hivyo hatua za kufuta kesi jana hazikuwa kwa masilahi ya taifa bali ilikuwa ni kuizuia mahakama kutoa haki, kilichofanyika jana ni matumizi mabaya ya mamlaka ya DPP,
HATUA TULIZOCHUKUA.
1. Leo tumefungua kesi mahakama kuu kwa hati ya dharura , kwa kuiomba mahakama iitishe mafaili yote mawili ,ili iyachunguze ione kama haki imetendeka kwa mujibu wa sheria za nchi yetu.
2. Wameiomba kama itakubali ifute ile hati ya DPP ya kufuta mashitaka, na ifute amri ya mahakama ya kufuta kesi iliyofanyika jana ,
3. Ielekeze mahakama ya hakimu mkazi kisutu , iendelee na utaratibu wa kutoa hukumu kama ilivyokuwa imepangwa , na hii ni kwa masilahi yab haki ionekane inatendeka.
Kilichofanyika n a mwendesha mashitaka wa serikali ni kuingilia uhuru wa mahakama katika kutenda haki.
Ooh, Sorry Dude, kumbe jiwe langu nililolusha gizani limekupata. Ukweli mara nyingi ni Mwiba.
Ukweli ulivyo mwiba, hata kujibu swali dogo uliloulizwa umeshindwa kulijibu. Ninakuuliza tena,
JE, UNAMFAHAMU LUDOVICK, na Kama NDIYO. unamfahamu VIPI?.
Mkuu, sijasema mimi. Wanasheria wa Lwakatare ndiyo wamesema.Ni feki kwa sababu ya kuchakachua kwa kuongeza na kuondoa baadhi ya maneno
Mkuu Mpaka Kieleweke,
Kwanza poleni kwa yote!.
Pili mnayo team nzuri sana ya wanasheria, lakini nashauri, mara moja moja, muwe mnasikiliza maoni ya ma layman kama sisi kupitia humu jf.
Nasikitika kuwaambia kitendo cha kufungua kesi kuhoji mamlaka ya DPP, its a wastage of time!. Mamlaka ya DPP haihojiwi na mamlaka yoyote hata rais wa nchi, hawezi kuyahoji, hivyo you are fighting a loosing battle!.
Ni kweli timu yenu ya sheria is a good team, nashauri please seek legal opinion ya best criminal lawyers around, kwa sababu baadhi ya wanasheria wenu ni politiciancs, wajiangalie wasije wakaipoliticise hii kesi kuonekana its a political case, bali muendelee kuipigania iwe abduction na sio terrorisim!.
Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.
Huu ni ushauri wa bure tuu toka kwa layman.
Pasco.
Basi wapangie adhabu haraka! Hakuna sababu ya kumtia mtu hatiani kabla ya mahakama, halafu ukakaa kimya bila ya kutoa adhabu ya kosa lao. Hebu tuambie, faini au miaka mingapi?Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?
Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.